Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Ndio maana nikakwambia hukuwahi kua muislam ama hukuujua uislam sababu kama ulikua muislam ukashindwa kujua jambo dogo tu kama hili la kua uislam haukuanzia kwa Waarabu wewe uliujuulia wapi uislam au ulikua muislam ganiHahahahaha kwahiyo wewe ulitaka ule uongo niliokaririshwa madrsa kuhusu allah niukiri hapa,Itakua na maana gan ya mimi kujitambua?,nimekuwekea na aya kabisa hapo halafu unakuja kuuliza eti sikuijua dini nisingeuliza kuhusu allah?!,acha ujinga watoto wako wakija kuona hizo comment halafu wakajua ni za baba yako watasikitika sana
Naona umeshindwa hoja unaanza Kuja na vioja Tanzania ndio dunia ndio maana nikakwambia urudi kwenye swali naona umezidi kupuyangaWewe kumbe huna akili 🤔,swali limeuliza kiongozi wa kiroho wa dini ya uislam dunian ni nan?,nyie mkajibu uislam hauna kiongozi,kiongozi wenu ni s.a.w na quruan,ndio tukawauliza hawa masheikh mkuu wa Tanzania na wa mikoa hao sio viongozi wa kirohoo?!
Inabid sasa tunawaelewesha kama watoto sababu hamjitambui
Mbona hueleweki wewe mzee?Ulianza kuonekana na nani uislam ulikuepo kabla ya ujio wa qur an ila ulikua haujakamilika unajidai una chukua reference kutoka kwenye qur an wakati huo huo unaibishia qur an sijui una shida gani qur an yenyewe ina tanabahisha kwamba kulikua na uislam kabla ya ujio wake pia kulikua na mitume kabla ya Muhammad s a w
Si ndio mnatumia hio mistari au hadithi kujinasibisha na waarabu 😂😂😂Ishmael mwana Abraham kwa mama was kinubi kutoka sudani kusini no mwafrika mweusi.Mama yake Ishmael aliyeitwa Hajir no Bibi was waarabu wote was uzao wa Ishmael.
Hawa kondoo hawaelewiMaelezo haya yanamtosha kumtoa tongotongo
Hujaelewa kipi nikuelewesheMbona hueleweki wewe mzee?
Huwezi kushiriki ibada ya dini usio kuwa muumini wake.Mmefika mahali paap mnataka kufanya ibada na jamii ya hapo sio waislam na wanahitaji kushiriki kwenye ibada unahisi wataelewa hio lugha?
Uislam umewapa uhuru wafanye ibada kwa lugha zao huku wakiendelea kujifunzaMmefika mahali paap mnataka kufanya ibada na jamii ya hapo sio waislam na wanahitaji kushiriki kwenye ibada unahisi wataelewa hio lugha?
Wewe umekaza ubongoHawa kondoo hawaelewi
AhsanteWewe umekaza ubongo
Mzee, hivi hiki unalichokiandika umewaza lakini?Mmefika mahali paap mnataka kufanya ibada na jamii ya hapo sio waislam na wanahitaji kushiriki kwenye ibada unahisi wataelewa hio lugha?
Hitaki mipasho wakati uzi wako umeuleta kwa misingi ya mipasho, uislam ilikuja ukakuta waarabu wana tamaduni zao na wali lazimika kuacha tamaduni zao ili waendane na uislam.
Kwa hiyo huo urokole wako unatembelea kwenye kivuli cha uafirica?Mnatumia nguvu sana kupinga ukweli huu. Lakini uhalisia ni kuwa, uarabu umeuteka uislamu, hivi kwamba siku zote uislamu unatembea chini ya kivuli cha uarabu. Mnabishia tu uhalisia ulivyo. Uarabu ndiyo umechangia pakubwa ku shape uislamu. Ndiyo maana hata mruke rule salakasi kiasi gani, bado mtatumia kiarabu kama lugha kuu ya kuabudia. Kitu ambacho is very strange in the entire world.
Unajua kilichoongelewa Kwenye huu uzi ?!,au umesoma comments yangu ukakurupuka kujibu?Mzee, hivi hiki unalichokiandika umewaza lakini?
Mbona kama umejisahau.., muislam anaweza akashiriki ibada popote pale dunian kwenye waislam.
Nahata wewe mgeni unaweza kuwaongoza wenyeji bila shaka kabisa. Hii ni tofauti na dini zingine..
Mfano wewe unaejua kiswahili au kiingereza ukifika sehem ambayo hawafaham lugha hizo huwez shiriki ibada ila Kwa waislam ni tofaut kiongoz
Maamrisho ya allah na mtume ndio hizo tamaduni za kiarabuUislam ni dini ilikuwapo tangu enzi za adam (a.s), haikuanzishwa na arabs.
Ktk uislam hakuna mizik wala nyimbo za ibada.
Mavaz tunayovaa ni kwa sababu mtume katuamrisha tuyavae, na sio kwa sababu ya auarabu wake.
Hiyo quran hata waarabu wanafundishwa kuisoma, lugha yake inahitaji utaalamu iliuisome vizuri.
Kiufupi waislamu hatuwafuati waarabu na tamadun zao kwa sababu hata hao arabs wanatamadun za kijinga sana.
Uislam unafuata maamrisho ya Allah na mtume..!
Ila una uwezo mdogo mno wa kuhoji mambo lakini unajiona unajua, wewe ungebaki kwenye vijiwe vya watu wenye akili ndogo huko ujadiliane nao hata kilimo Cha matikiti ukijipa muda wa kujifunza jinsi ya kujadili mambo yanayohitaji elimu na ufahamu mkubwa, wewe ni majnun unayeomba ruhusa kujadili mada kwenye wasilisho la kitaalumaMtakuja na kila hoja ya kupinga na kuutetea uislam,lakin ukweli utabaki kuwa uislam ni mila za kiarabu,ni mtu mjinga pekee asietumia akili yake ndio ataamini uislamu si uarabu
Kuamini kuwa Qur'an imeshuka ni maajabu ya aina yake, dini zote ni sanaa na vitabu vyenu vyote vya hadithi za kale(dini) vimetungwa na kuandikwa na watu wakiwa na agendas zao.Mbona Yesu ni myahudi lakini hakuna myahudi hata mmoja anemkubaki na kuendana nae?
Ni mjinga tu anaeshindwa kujua uarabu na uislam ni vitu viwili tofauti.
Mtume amesema sehemu ya uarabu ni kua
1. Quran imeshuka kwa kiarabu
2. Mtume ni muarabu, tofauti na hapo hakuna.
Ndio maama zama kabla ya usilam pale uarabuni zinaitwa zama za ujahilia yaani ujinga, maana waarabu walikua na tabia chafu sana ingawa mpaka sasa wapo pia.
Hujaona kama nimekukoti wewe?? Maana yake nimekujibu wewe.. ningetaka kuchangia kilichoongelewa nimengemkoti mtoa mada.Unajua kilichoongelewa Kwenye huu uzi ?!,au umesoma comments yangu akakurupuka kujibu?
Kwa hiyo huo urokole wako unatembelea kwenye kivuli cha uafirica?
Kwanza umekubali kuwa kwenye ubatizo majina ya asili hayatakiwi bali yanatakiwa ya kizungu?
Hata kama inatembelea kwenye kivuli wa waarabu ww ina kuhusu nn au umehathirika nn kutokana na hilo?