Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Na wewe tunga qur an yako tuuone uwo urahisi
Hiyo ilitungwa ikaenezwa kwa majambia plus back then watu walikuwa wanaamini kijuha kwa kuwa uelewa in general na reasoning plus hakukuwa na scientific/geographical knowledge kama ilivyo sasa kituko ni watu wa zama hizi kuendelea kuamini huo upuuzi.
 
Jifunze kutenganisha hoja kwa upande mmoja na mtoa hoja kwa upande mwingine. Shambulia hoja na si mtoa hoja.
Nikusaidie kitu, huu mjadala ni mwepesi mno na kuendelea kuelimishwa Kama unavyotaka ni miongoni mwa matumizi mabaya ya akili.
Yaani uje uulize swali Kama Hilo halafu uite mjadala? Sasa mtu kama vitu vidogo tu Kama mavazi, chakula na sijui nyimbo unazinasibisha na uislam sasa hapo kweli kwa wenye akili si washajua tu wewe ni majnun? Ungesema unataka kuelewa dhana ya hivyo vitu ungeeleweshwa ila wewe umekuja na hitimisho kwahiyo hata ukieleweshwa ni kazi bure tu.
 
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.

Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.

1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.

2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu

3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu

4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu

5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu

6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni

7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu

8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu

9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.

10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.

Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.

CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Naam. Mwanzilishi anaweza kuwa ni mwarabu .....
 
Nikusaidie kitu, huu mjadala ni mwepesi mno na kuendelea kuelimishwa Kama unavyotaka ni miongoni mwa matumizi mabaya ya akili.
Yaani uje uulize swali Kama Hilo halafu uite mjadala? Sasa mtu kama vitu vidogo tu Kama mavazi, chakula na sijui nyimbo unazinasibisha na uislam sasa hapo kweli kwa wenye akili si washajua tu wewe ni majnun? Ungesema unataka kuelewa dhana ya hivyo vitu ungeeleweshwa ila wewe umekuja na hitimisho kwahiyo hata ukieleweshwa ni kazi bure tu.

Ni sawa. Ni maoni yako. Uko huru kuyatoa. Lakini nilitegemea kwa uwezo wako mkubwa unaodai kuwa nao katika mambo haya. Ungeutumia kutuelimisha sisi ignorance katika eneo hilo. Ungehakik8sha kila hoja tuliyoitoa ungeidadavua kwa undani ili tusibaki na chembe yoyote ya shaka. Lakini tofauti yake unaingia kwenye mtego wa kushindwa kudhibiti hisia, unaanza kuchambua watoa mada. Jambo ambalo halitasaidia katika mjadala huu.

Katika wahu ambao wanajitahidi kujadili hoja ni Bwana Utam pekee. Anajitahidi kudhibiti hisia na kujielekeza kwenye hoja. Licha ya kuwa nyakati fulani tuna tofautiana kwenye citing authority.
 
Hata ukristo ni utamaduni wa wazungu hujamsikia Papa Francis akibariki ushoga? Africa na ushoga wapi na wapi?
Hapo Zbar, Tanga, Mombasa kwenye waislam zaidi ya asilimia 90 ndio kitovu cha ushoga+ ufiraji
 
Hiyo ilitungwa ikaenezwa kwa majambia plus back then watu walikuwa wanaamini kijuha kwa kuwa uelewa in general na reasoning plus hakukuwa na scientific/geographical knowledge kama ilivyo sasa kituko ni watu wa zama hizi kuendelea kuamini huo upuuzi.
Hakuna sehemu uislam umeenezwa kwa jambia ndio ujue sasa kama uislam umenyooka zama hizo mnazo sema zilikua za giza na munadai watu walilazimishwa kuwa waislam kwa mapanga haya na watu wa zama hizi za Nuru nao walilazimishwa na nani uislam umenyooka kijana
 
Ni sawa. Ni maoni yako. Uko huru kuyatoa. Lakini nilitegemea kwa uwezo wako mkubwa unaodai kuwa nao katika mambo haya. Ungeutumia kutuelimisha sisi ignorance katika eneo hilo. Ungehakik8sha kila hoja tuliyoitoa ungeidadavua kwa undani ili tusibaki na chembe yoyote ya shaka. Lakini tofauti yake unaingia kwenye mtego wa kushindwa kudhibiti hisia, unaanza kuchambua watoa mada. Jambo ambalo halitasaidia katika mjadala huu.

Katika wahu ambao wanajitahidi kujadili hoja ni Bwana Utam pekee. Anajitahidi kudhibiti hisia na kujielekeza kwenye hoja. Licha ya kuwa nyakati fulani tuna tofautiana kwenye citing authority.
Shida wewe una hoja zako ambazo hazina ukweli halafu unataka watu wazi amini wakati uongo tunakueleza kwamba waarabu kabla ya uislamu walikua na mila zao hutaki kwamba walikua na mungu yao hutaki kwamba walikua na mavazi yao akiwemo mke wa mtume walikua hawajistiri hutaki kwamba walikua walevi na kuna kipindi walikua wana Sali wakiwa wamelewa hutaki sasa sijui tukueleweshe tukiwambia kwamba uislam haukuanzia kwa s a w hutaki sasa unataka nini kama huutaki ukweli kijana mimi sio mwepesi kupanic yaani ili ni panic labda unipige kiasi cha kutishia uhai wangu ila kwa maneno maneno haya aaah sijawahi kupanic namshukuru Allah kwa hili kanijaalia uwezo wa kuzuia hisia zangu hata kwa ni sio ya penda
 
Mkuu inapendeza sana unapotaka kuandika chochote hasa kile ambacho huna ufahamu nacho UKAFANYA ITAFITI JAPO MDOGO.
Unless kama umekusudia kupotosha .

Ashakum si matusi -Haifai kumjibu Mjinga
lakin kwa faida ya wasomaji ipo haja ya kuweka sawa jambo hili.
Na Nitajielekeza katika point zako mbili tu
No.1 & 2 Zilizobaki umeandika nonsenses

Maana ya UISLAM si hiyo iliyoandika hapo na hapo ndipo inapoonesha uwezo wako Mdogo wa kufuatilia.

UISLAM ni Nini?
UISLAM ni Kujisalimisha kwa MUUMBA kwa Twaa(kumtii) Na kumpwekesha katika ibada (Kumuabudia yeye pekee) na Kujiepusha na Shirki (Kujitenga na mambo yote yanayohusiana na Ushirikina)
☝️ Ndio maana ya UISLAM sasa Ndugu hiyo yako umezitoa wapi?

Katika Uislam Tunaamini katika Vitabu vinne(4) walivyo letewa Manabii
1. ZABURI -Nabii DAUDI (Alayh Salaam)
2. TAURAT - Nabii MUSSA (Alayh salaam)
3. INJILI - Nabii ISSA (Alayh salaam)
4. QUR'AN -Muhammad(swala &salaam juu yake)

• Uletwaji wa hawa manabii ulielekezwa hasa kwa jamii ambazo kwa zama hizo zilikuwa zimechupa mipaka ya Uasi. za wakipelekewa UJUMBE huo kutoka kwa MUUMBA wao kwa lugha wanaielewa wao.
Na ndio maana DAUD,MUSSA na ISSA wote wakapelekwa na jamii ya MAYAHUDI na kwa lugha zao.

MWANZILISHI wa UISLAM si Nabii Muhammad (juu yake sala na salaam) Uislam upo toka Zama za Nabii NUHU ( Alayh salaam )
Na haya tumeyajua baada ya ALLAH kutupa habari za watu za Zama zilizopita kupitia huo QUR'AN , Unapomsikia NABII NUHU zivute fikra zako (kama unazo lakin) mpaka zama za mwanzo za kuanza kwa maisha ya Kiumbe Mwanadamu maana NUHU aliletwa baada ya tu ADAM.
Sasa kama Muanzilishi wa UISLAM ni MTUME WETU NUHU ,SWALEH ,IDIRISSA ,ILIYASA ,MUSSA, YAAKUBU ,SULEYMAN, DAUD, IS'HAQA
ISMAAIL, IBRAHEEM, ISSA, n.k
kama unavyodai muanzilishi ni Muhammad hao wote walikuwa DINI GANI?
na hayo majina ni majina ya dini?
wakati wote walikuja kabla ya Muhammad ( juu yake sala na salamu)

REJEA TENA ULIKOCHOTA MAKOROKORO YAKO KISHA JIFUNZE UPYA UKITANGULIZA HAMU YA KUJUA NA SI CHUKI- Kwasababu walipita watu smart & Intelligent waliokuwa na chuki sizizomithilika na wameondoka na Uislam na QUR'AN vipo vile vile , kwanini? kwasababu mwenye QUR'AN na dini yake ameahidi kuvihami na Yeye ni MKWELI WA AHADI.

Kwanza kabisa. Huwezi lazimisha swali liulizwe katika namna ambayo wewe unataka. Pia hakuna swali la kijinga. Kwa maana anayeuliza anataka kujua. Ila jawabu linaweza kuwa lisilo la uelevu.

Pia jifunze kutenganisha hoja kwa upande mmoja na mtoa hoja kwa upande mwingine. Usishambulie mtoa hoja bali shambulia hoja. Hilo linahusisha kudhibiti hisia.

Umetaja mambo mengi kuutafsiri uislam. Lakini bado huja cite authority. Hujaweka msingi wa mamlaka (cite authority), ili nasi fujielimishe. Umeongelea mambo mengi ambayo hayana msingi wenye mamlaka.

Binafsi bado nina maswali mengi tu. Lkn baadhi ni haya.
1. Vitabu vingine kabla ya Muhammad vilikuwa katika lugha zingine siyo kiarabu. Lakini vitabu hivyo vimetafsiriwa katika lugha zingine na bado mnaviamini. Lkn kwa kurwan ni marufuku kutafsiri. Kwa nini iwe hivyo?
2. Kwa nini ibada zenu kwa 99% zinaendeshwa kwa lugha ya kiarabu?
3. Pia majina ya waumini lazima yawe ya kiarabu, jambo linalopelekea kuua asili yao. Hapo ningeelewa endapo tu kurwan ingebaki kwa kiarab lkn majina yangebaki ya asili yao, hususan kwa waislam waishio nje ta ulimwengu wa kiarabu.
4. Kwa nini nabii Muhammad anasujudiwa zaidi kuliko nabii watangulizi wake? Nanabii wengine hawasikiki popote ila Muhammad anatajwa mara 5 kwa siku.
 
Shida wewe una hoja zako ambazo hazina ukweli halafu unataka watu wazi amini wakati uongo tunakueleza kwamba waarabu kabla ya uislamu walikua na mila zao hutaki kwamba walikua na mungu yao hutaki kwamba walikua na mavazi yao akiwemo mke wa mtume walikua hawajistiri hutaki kwamba walikua walevi na kuna kipindi walikua wana Sali wakiwa wamelewa hutaki sasa sijui tukueleweshe tukiwambia kwamba uislam haukuanzia kwa s a w hutaki sasa unataka nini kama huutaki ukweli kijana mimi sio mwepesi kupanic yaani ili ni panic labda unipige kiasi cha kutishia uhai wangu ila kwa maneno maneno haya aaah sijawahi kupanic namshukuru Allah kwa hili kanijaalia uwezo wa kuzuia hisia zangu hata kwa ni sio ya penda

Haya mbona umeniambia kila wakati? Ninachotaka ni mamlaka ya kuonesha hayo unayoyasema. Yaani ushahidi.

Pia eleza ni aya inasema lazima uislam uabudiwe kwa kiarab? Hata kurwan isitafsiriwe kwa lugha nyingine?

Nijibu hayo kwa maelezo mafupi kabisa
 
Unayataka ushahidi kwenye engo gani tuanzie hapa kwanza unajua maana ya kuabudu kijana na kuhusiana na qur an imetasiriwa kwa lugha zaidi ya 25 mzee
 
Unayataka ushahidi kwenye engo gani tuanzie hapa kwanza unajua maana ya kuabudu kijana na kuhusiana na qur an imetasiriwa kwa lugha zaidi ya 25 mzee

1. Uislam uliletwa kwa waarabu kama unavyoeleza. Waarabu walikuwa na dini yao.

2. eleza ni aya inayosema lazima uislam uabudiwe kwa kiarab? Hata kurwan isitafsiriwe kwa lugha nyingine?
 
Ila una uwezo mdogo mno wa kuhoji mambo lakini unajiona unajua, wewe ungebaki kwenye vijiwe vya watu wenye akili ndogo huko ujadiliane nao hata kilimo Cha matikiti ukijipa muda wa kujifunza jinsi ya kujadili mambo yanayohitaji elimu na ufahamu mkubwa, wewe ni majnun unayeomba ruhusa kujadili mada kwenye wasilisho la kitaaluma
Unataka kusema kwenye kujadili hizi dini mbili nayo inahitaji elimu kubwa?
 
Jifunze kutenganisha hoja kwa upande mmoja na mtoa hoja kwa upande mwingine. Shambulia hoja na si mtoa hoja.
Wafia dini ndivyo walivyo hususani wavaa makobazi,wakishazidiwa na hoja wameacha kuchangia hoja wanamshambulia mtoa hoja,so watu wa hivyo tumewazoea
 
1. Uislam uliletwa kwa waarabu kama unavyoeleza. Waarabu walikuwa na dini yao.

2. eleza ni aya inayosema lazima uislam uabudiwe kwa kiarab? Hata kurwan isitafsiriwe kwa lugha nyingine?
Kwanza kabla ya kuku jibu swali la kwanza unatakiwa ujue kwanza uislam haukuanzia kwa waarabu halafu zije nyenginezo na swali la pili liulize vyema kijana maana halija nyooka sababu uislam una ibada nyingi na ibada nyingi zinafanywa kwa lugha mbali mbali ukitoa tu ibada ya Sala sasa kwako unaongelea ibada zote ama unaongelea ibada ya Sala nyoosha maswali
 
Shida unashindwa kutofautisha majambo hizo architecture wala hazina nafasi yeyote kwenye uislamu uislam hata ukiamua kusali uwanjani unasali muhimu tu mahala unaposalia pawe Safi tohara hayo majengo ni kupendezesha tu wala hayana ulazima
Huna hoja 🚮,kwanin hayo majengo msiyajenge kwa muundo wa kanisa kama halihusiani na uarabu
 
Back
Top Bottom