ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Acha kuruka ruka jibu swali langu kwanini majina ya asili hayaruhusiwi kwenye ubatizo badala yake yanayo takiwa ni ya kizungu tu?Kwanza mimi siyo "mrokole" kama unavyosema.
Pili hakuna dini yoyote duniani ambayo imefungamanishwa au kugungwa au kutembea chini ya desturi (hususan lugha) ya jamii fulani. Uislam ndiyo dini pekee ambayo waarabu wana haki miliki yake. Na uislam utakuwa huru pale tu utakapojitenga na uarabu. Pale utakapojitambua kwamba ni chombo cha kiimani/kiroho na si mpango wa kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu.
Kuhusu kunihusu, kama uislam uko chini ya utumwa wa waarabu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kutoka kwenye fikra zake tunduizi. Huwezi kunipangia kitu gani niwaze. Hata Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kuchagua yaani freewill.
Tuambie pia ni kwann msiandike biblia yenu badala ya kutumia mliyo letewa na wazungu?
Kwanini kwa karne zote viongozi wote wa kiroho wa madhehebu ya kikiristo kidunia wote ni wazungu?
Kiufupi wakristo wote ni vikaragosi wa wazungu kubali ukatae ila hilo hali badiliki.
Yaani kila mwaka mnakamuliwa pesa na kupelekwa Vatican ili ziende kuijenga Roma wakati nyinyi mnanuka umasikini alafu unakataa kuwa sio watumwa wa wazungu.
Uwe mrokole uwe msabato,uwe Angilikana ,uwe katoliki wote ni wafuasi taasisi hizo zilizo anzishwa na wahuni kutoka ulaya ambapo badae walikuja kutumia karata hii ya dini zao kututawala na kutupora.
Yesu hautambui huo ukristo wenu , ukristo ni kijitaasisi kilicho anzishwa na wahuni kwa ajili ya kupora na kutapeli na mpaka sasa wachungaji wanautumia vizuri kuwakamua sadaka.
Sasa kama kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mbona wengine wakitoa mawazo yao kuhusu dini unayo iamini unakimbilia kususa na kusema eti hawana elimu?
Au hiyo haki ya kutoa mawazo yako Mungu kakupa ww tu ?