Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

1. Uislam uliletwa kwa waarabu kama unavyoeleza. Waarabu walikuwa na dini yao.


2. eleza ni aya inayosema lazima uislam uabudiwe kwa kiarab? Hata kurwan isitafsiriwe kwa lugha nyingine?
Hii inaitwa suratul qaafiruun kijana inaeleza namna s a w anawaleza waarabu wa makka kama sijakosea hao waarabu na hawakuwa waislam 1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Huna hoja 🚮,kwanin hayo majengo msiyajenge kwa muundo wa kanisa kama halihusiani na uarabu
Hayo ni maamuzi ya mtu ukiamua kujenga unajenga na wala hakuna shida kwenye hilo mfano Kuna baadhi ya makanisa baada ya kutelekezwa yakanunuliwa na waislam haya kuongeza kitu kubwa yalitolewa tu misalaba na kuwa misikiti watu wanasali
 
Labda pengine kama ulikuwa hujui ni kwamba Qurani ni tofauti na Kiarabu...
Kuna Waarabu wasiojua Quran....
Muktadha wa Yale yaliyoandikwa kwenye Quran kuanzia irabu mpaka silabi Una tofauti na ule wa lugha ya Kiarabu
Eti quruan ni tofauti na kiarabu!😂
 
Unaweza kutenganisha Uarabu na uislam Quran sio Lazima usome ya Kiarabu unaweza kusoma ya Kiswahili sio lazima uvae Kanzu mbona kuna Waarabu Wakristo na pia kuna Biblia ya Kiarabu
 
Unaweza kutenganisha Uarabu na uislam Quran sio Lazima usome ya Kiarabu unaweza kusoma ya Kiswahili sio lazima uvae Kanzu mbona kuna Waarabu Wakristo na pia kuna Biblia ya Kiarabu
Qur an lazma uijue na kuisoma kwa asili yake ingawaje ukijua na tafsiri yake kwa lugha unayo ielewa inakua kheri Zaidi
 
Ili Kufahamu kuwa hizi dini zimekuja kwa majahazi sidhani kama inahitaji elimu unayoisema,kwahiyo unataka nikakae madrasa?
Alokwambia ukakae madrasa nani mzee hio juu yako mwenyewe na nafsi yako kama utakaa sawa usipokaa sawa ingawaje unatakiwa ukiwa muongo uwe na kumbu Kumbu ndio maana kule juu nilikwambia eidha wewe hujazliwa ndani ya uislam ama hujausoma na huujui kabisa hata huo uislam sasa unataka ukakae madrasa ufanye kipi wakati kule juu ulituelezea kua ulikaa na ukausoma uislam
 

Asante kwa hii nukuu. Sasa hizi zinatoka kwenye hadith na sunnah za mtume au kurwan?
 
Umesahau kwamba hata Allah wao mwenyewe anaongea na kusikia kiarabu tu. Ukifanya maombi kwake kwa lugha nyingine hasikii na haelewi.

Ni mambo ya ajabu sana.

HIlo ni jambo la kushangaza sana. Ndiyo maana kawapa adhabu wote wanaojiunga, lazima wqjifunze kiarabu
 
ASSIMILATION POLICY ya mwarabu
 
Sasa huku mtaani hujui ni kiarabu au kiswahili au kizaramo. Mtu anakusalimia "SAMALEKU"
Unajiuliza hiki ni nini?
 
Unaweza kutenganisha Uarabu na uislam Quran sio Lazima usome ya Kiarabu unaweza kusoma ya Kiswahili sio lazima uvae Kanzu mbona kuna Waarabu Wakristo na pia kuna Biblia ya Kiarabu

Kawaambie waja ya kuwa wasiite adhana kwa kiarabu. Waite kwa kiswahili. Pia yale maneno ya kiarabu wanayoyarudia rudia mara nyingi wayaseme kwa kiswahili. Halafu uje unipe majibu.
 
Sasa huku mtaani hujui ni kiarabu au kiswahili au kizaramo. Mtu anakusalimia "SAMALEKU"
Unajiuliza hiki ni nini?

Sasa hapo hujakutana na masai na msukuma. Ni balaa

🙂
 
Nipe ni mstari wa ngap
Sio mstari sema sura ya ngapi mistari ama aya zake kama uzionavyo hapo ila ni sura ya 109 qur an kama sijakosea ila yaitwa suratul qaafiruun sasa ndugu yangu ulipata wapi ujasiri wa kuanzisha uzi kama huu ikiwa hata sura fupi kama hio hukuwahi kuijua uwe unafanya kwanza risach
 
Ikiwa yesu hakuingia kanisani basi ni wazi hakuwa mkiristo watueleze alieanzisha kanisa ni nani na wanaoingia kanisani ni nani ama ni wafuasi wanani
Ikiwa yesu hakuingia kanisani basi ni wazi hakuwa mkiristo watueleze alieanzisha kanisa ni nani na wanaoingia kanisani ni nani ama ni wafuasi wanani
Aliye anzisha kanisa ni Paulo na hawa wanao ingia kanisani kwa sasa ni wafuasi wa paulo na waasi wa kanisa lilio anzishwa na paulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…