Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Acha kuruka ruka jibu swali langu kwanini majina ya asili hayaruhusiwi kwenye ubatizo badala yake yanayo takiwa ni ya kizungu tu?
Tuambie pia ni kwann msiandike biblia yenu badala ya kutumia mliyo letewa na wazungu?
Kwanini kwa karne zote viongozi wote wa kiroho wa madhehebu ya kikiristo kidunia wote ni wazungu?
Kiufupi wakristo wote ni vikaragosi wa wazungu kubali ukatae ila hilo hali badiliki.
Yaani kila mwaka mnakamuliwa pesa na kupelekwa Vatican ili ziende kuijenga Roma wakati nyinyi mnanuka umasikini alafu unakataa kuwa sio watumwa wa wazungu.

Uwe mrokole uwe msabato,uwe Angilikana ,uwe katoliki wote ni wafuasi taasisi hizo zilizo anzishwa na wahuni kutoka ulaya ambapo badae walikuja kutumia karata hii ya dini zao kututawala na kutupora.
Yesu hautambui huo ukristo wenu , ukristo ni kijitaasisi kilicho anzishwa na wahuni kwa ajili ya kupora na kutapeli na mpaka sasa wachungaji wanautumia vizuri kuwakamua sadaka.

Sasa kama kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake mbona wengine wakitoa mawazo yao kuhusu dini unayo iamini unakimbilia kususa na kusema eti hawana elimu?
Au hiyo haki ya kutoa mawazo yako Mungu kakupa ww tu ?
 
Mbona unajichanganya na kujikanyaga ?
Umesema washia walikataa kufuata tamaduni za kiarabu ila una sahau kuwa kuna mamilioni ya waarabu ambao ni washia.
Unadai waarabu hawana akili wakati huo unasema kuwa wanasambaza utamaduni wao kupitia mgongo wa dini ambayo ina zaidi ya wafuasi bilion 2.2 kote duniani ,mtu unaweza kuwaminisha watu bilion 2 falisafa zako bila kutumia akili?

Waarabu wanao miliki majiji kama Dubai,Dohar,Abudhab,Riyadh,kuwait, wanao dhibiti %80 ya uchumi ya uchumi wa nchi yako hawana akili. Ila ww na ukoo wako mnao nuka umasikini mpaka matakoni kutoka nchi inayo ongozwa na CCM ambayo pesa za kununua magari ya million 400 kwa ajili viongozi zipo ila pesa za kujenga vyoo vya laki 5 hazipo mpaka wasubiri misaada ndo mna akili?
 
Ili Kufahamu kuwa hizi dini zimekuja kwa majahazi sidhani kama inahitaji elimu unayoisema,kwahiyo unataka nikakae madrasa?
Ww ni mrokole acha kujificha kwenye kivuli cha upagani.
 

Endeleani kuabudu wale ambao ni sponsor wa uislam
 

Tulia mdogo wangu, huu mchezo hautaki hasira.
Moja tu ambalo uondoke nalo; kosa moja ukijumlisha na kosa lingine hakufanyi upaje jawabu sawa.
Namaanisha kama wakristo wanabatiza kwa majina ya kizungu hilo ni kosa, halifai kuletwa tena kwa uislam, ukisilimu tu lazima upewe jina la kiarabu. Huo ni utumwa. Kwani kuabudu kwa lugha yenu huku mkiitana kwa majina yenu hata na salamu mkisabahiana kwa salamu yenu Mwenyezi Mungu hataithamini ibada yenu? Mbona mnaiga kila kitu cha muarabu?

Kwa hiyo wewe mtu akiwa na utajiri tayari kafanikiwa. Kwa hijo muarabu kafanikiwa, wakati is always treading in dangerous waters 💧. Wangekuwa na akili, hususan waislam kusingekuwa na machafuko kwenye ulimwengu wa kiislam.
 
Aliye anzisha kanisa ni Paulo na hawa wanao ingia kanisani kwa sasa ni wafuasi wa paulo na waasi wa kanisa lilio anzishwa na paulo.
Wewe ndiwe Petro na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda.
Hayo maneno alisema Nani?
 
Kumbe napoteza muda kubishana na punguani aliye jaa mavi kichwani badala ya ubongo.
Sasa kama unakili kuwa kwenye ukristo kuna makosa kibao na makando kando na bado unaendelea kuuabu ,kina kuuma nini waisilam kuabudu uisilam hata kama ww unauona una makosa?
Ww kama unaona ni sawa kuwa mtumwa wa wazungu kwanini uone nogwa kwa wengine kuwa watumwa wa waarabu?
Ya kwamba ww ni haki yako kuwa shoga ila wenzako hawana haki ya kuwa malaya?
Eti waarabu hawana akili kwahiyo kuokoa watu walio angukuwa na jengo la ghorofa tatu zaidi ya siku mbili ndo akili?
Au kushindwa kutatua tatizo la maji ,vyumba vya madarasa,vyoo na madawati shuleni ,madawa hospital zaidi ya miaka 60 uhuru ndo akili?

Ebu ni tajie sehemu moja ambayo hakujawahi kuwa na vita hapa duniani.
Kwa hiyo waafrica wote hawana akili kwa sababu ya vita inayo endelea kongo na sudan?
Au wazungu wote hawana akili kwasababu ya vita inayo endelea kati ya Ukraine na Urusi na vita ya kwanza na ya pili ya dunia?
Au wachina hawana akili kwa sababu walisha pigana vita na Japan?

Nchi za kiislam hapa duniani zipo zaidi ya 50 na nchi zenye vita hazizidi hata sita kwa hiyo hizo 6 ndo zinawakilisha waisilam wote duniani?
Alafu unacho takiwa kujua ni kuwa waarabu ni asilia ndogo sana ya waisilam ,wanachangia %18 tu wa waisilam wote duniani , waisilam walioko India Indonesia na Pakistan tu ni wengi kuzidi waarabu wote duniani.
Upumbavu ni nini , Upumbavu ni kujifanya mjuaji kwenye vitu isivyo kuwa na ufahamu navyo ,sasa ww ni mpumbavu wa kiwango cha juu kabisa.
 

Sasa matusi ya nini bro, wakati tulisema mchezo huu hauhitaji hasira. Kwani alahu anasemaje kumtukana kafiri.
😛

All in all, ukipata critics ambayo hukuitegemea kuipata lazima cortisol hormone iwe juu. Na mjiandae tu kupatabuasi ndani ya uislam. Maana mpaka sasa, hakuna sababu ya maana mnazotoa mtu akiwauliza kwa nini ibada yenu imefungwa kwenye uarabu. Tangu alfajili mpaka saa mbili usiku mnaimba alahu kibaru. Hamna hata la maana mnalofundishana kuhusu Mwenyezi Mungu Muumba mbingu na nchi.
 

Pitia hapa uone hoja hizi pia.
CC: ibanezafrica
 
Tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu ni hii hapa; huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu wakati unaweza kuutenganisha Ukristo na Wazungu; tutapata Papa Mwafrika kabla hatujapata Mufti Mzungu
We jamaa umefikilia kweli iv unajaua maana ya Mufti!? Et hatuwezi kupata mufti mzungu so unavyofikili chombo kinachosimamia uislam uingeleza kinaendeshwa na mufti mswahili!?

Et unaseam ukristo unatofati na wazungu!? Wakati dunia nzima wakristo tayari mnatofautiana haijulikani mkoje
 

Kwani waislam ndo hawajatofautiana?
Mbona kuna wengine wanajiita Sunni, ahamdiyah, Shiah nk
 
Tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu ni hii hapa; huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu wakati unaweza kuutenganisha Ukristo na Wazungu; tutapata Papa Mwafrika kabla hatujapata Mufti Mzungu
Mufti wazungu wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…