Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Kama hwezi tenganisha Uislam na Uarabu je Unawezaje kutenganisha Ukristo na Uzungu ?? Wakat wazungu nd namba moja katik kueneza Ukristo dunian na hata mamn mengi ya kikristo yanafanyw kimila za kizungu, ikiwemo hata hii christmass, mazehebu karibia yote ya kikristo yameanzishw na wazungu, mbona mnausakama sana Uislam alaf mnajisahau wenyew
 

Ukristo hautumii desturi za kizungu, hususan lugha na majina.
Tofauti na uislam ambao ni uarabu kabisa
 
Shangaa na wewe mkuu
 
Shangaa na wewe mkuu

Kurudia rudia maneno yale yale mara 5 kwa siku kwa lugha isiyo eleweka inafanya wengi wahisi ni namna ya ibada yenye ubaguzi. Inabagua watu wasiojua lugha ya kiarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…