Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Mnajenga hoja nzuri sana kuhu uwepo wa uislam kabla ya Muhammad. Lakini hamtoi tangible authority kuhusu madai mnayoleta mbele.
Kama hujasoma Quran, huwez elewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajenga hoja nzuri sana kuhu uwepo wa uislam kabla ya Muhammad. Lakini hamtoi tangible authority kuhusu madai mnayoleta mbele.
Kurudia rudia maneno yale yale mara 5 kwa siku kwa lugha isiyo eleweka inafanya wengi wahisi ni namna ya ibada yenye ubaguzi. Inabagua watu wasiojua lugha ya kiar
imetumika lugha moja iliupatikanike wepesi wa kuabudu tofauti na ukristo1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.
Na Waarabu Wakristo tunawaweka wapi?
1 unaelewa maana ya ibada kwanza kijana 2 muanzilishi yupi wa uislam alikua muarabu kama unamaanisha s a w basi unakosea sababu uislam haukuanzia kwake 3 qur an kweli imeandikwa kwa kiarabu ila uislamu haukuanzia kwenye qur an vilipita vitabu vingi kabla ya qur an 4 uislam hauna majina maalum kijana la msingi Jina liwe zuri hata happy unaweza ukajiita uislam sio Jina kijana 5 waarabu hakua na utamaduni wa kuvaa kwakujistiri kabla ya ujio wa qur an walikua wanavaa vaa tu hovyo hovyo 6 Majengo ndio nini kijana uislam hauna hizo mambo ndio maana watu wanasali popote pale muhimu pawe Safi tu 7 uislam hauna ibada ya musiki wala nyimbo kijana 8 uislam hauna mapishi ya kiarabu kijana uislamu una ruhusu kula chochote maadam ni halali na kizuri 9 Muziki sio sehemu ya sherehe za waislam kijana acha kupotosha watu 10 kabla ya uislam waarabu walikua hawazikani walikua wanafukiana tuuu mwisho waarabu wasiokua waislam nao tunawaeka upande gani wenyewe
Tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu ni hii hapa; huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu wakati unaweza kuutenganisha Ukristo na Wazungu; tutapata Papa Mwafrika kabla hatujapata Mufti Mzungu
Ukristo kwa logic yako potofu uliianza na Wazungu sio?
Au Una maana ukristo ilianzishwa Nicea (Turkey ya sasa) na Mfalme Constantine mtawala wa Mzungu wa Kirumi ndio maana Xmass imewekwa siku ya kusheherekea uzao wa mungu wa kale wa Kirumi.
Tukuitaje mtu unayezungumzia dini ambayo una Zero knowledge ya philosophy yake zaidi ya kukuita ,(ashakum) mpumbavu?
imetumika lugha moja iliupatikanike wepesi wa kuabudu tofauti na ukristo
lugha ya kiarabu kama ulikuaujui ndio imeuganisha waislam wote duniani kwenye ibada.mkristo akiende jumapili kanisani sehemu ambayo lugha inayo zungumzwa si lugha yake anakuwani mpenzi mtazamajitu.Hoja ni uislam vs uarabu
😆Tofauti kubwa ya Ukristo na Uislamu ni hii hapa; huwezi kuutenganisha uislamu na uarabu wakati unaweza kuutenganisha Ukristo na Wazungu; tutapata Papa Mwafrika kabla hatujapata Mufti Mzungu
Sasa wao kufuata hizo tamaduni za kiarabu kwako imekuathiri nn kwenye maisha yako?
Kinacho shangaza ni ww kujiona una uhuru wa kufuata tamaduni za kimagharibi ila wakati huo unaona wengine hawana haki ya kufuata tamaduni unazo ziita za kiarabu.
lugha ya kiarabu kama ulikuaujui ndio imeuganisha waislam wote duniani kwenye ibada.mkristo akiende jumapili kanisani sehemu ambayo lugha inayo zungumzwa si lugha yake anakuwani mpenzi mtazamajitu.
Dini zote duniani zina basis ya mila na tamaduni fulaniIko sahihi sana, na hapa ndio watu Huwa wanashindwa kuelewa tofauti ya Uislam na Ukristo.
Kwamba wakati Uislam ni dini yenye basis ya Mila na desturi, Ukristo ni dini iliyobase katika Imani kwa njia ya YESU Kristo.
imetumika lugha moja iliupatikanike wepesi wa kuabudu tofauti na ukristo
ShetaniSorry nimechanganya; kiongozi wa waislamu kidunia anaitwa nani?