Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

Kipindi cha Magufuli afisa usalama yeyote aliekuwa anaibua wizi wa muda huo au deal za nyuma kuanzia wilayani mpaka serikalini; na serikali ikapata hela zake.

Malipo yake kwanza ilikuwa holiday popote duniani muhusika yeye na mkewe kwa week mbili kwa gharama ya serikali na bonus ya 10% mpaka 20% inategemea na kiwango serikali ilichookoa.

Wazalendo hawa-hawa Magufuli alipohatarisha maisha ya watanzania kuzuia chanjo ya COVID wakasema inatosha.

Katiba ya Tanzania inaweza mfanya raisi ajione invisible.

Kwa hali ya Tanzania leo, Samia alipoifikisha either apokee ushauri wa Polepole huko mbele apate muda wa wa kutumbua alichoiba na kucheza na wajukuu zake kwa miaka mungu aliyompangia au la.

Uamini siku zake zinahesabika kwa ukaidi subirini.
 
Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
Then unakiri kuwa unaikataa CCM na Yanga, si ndiyo?
 
Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!

Itumike njia gani? Watu wakishaelimika, wataamua wenyewe.

Na hakuna kitu kikubwa katika maisha y binadamu kama elimu....

Acha elimu ije kwa njia za kihuni, kama wanavyoishi wahuni, ili waondolewe kihuni hivyo hivyo
 
tumia maarifa yatokanayo na elimu.
 
Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
Kwa waungwana kudeal na mhuuni kiungwana tunahesabu huo ni uhuni type two.Hivyo muhuni aendewe kihuni japo uungwana wako unaujua mwenyewe pamoja waungwana wengine.
 
Back
Top Bottom