Siku hizi kuna mataahira wengi sana!Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
Then unakiri kuwa unaikataa CCM na Yanga, si ndiyo?Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
tumia maarifa yatokanayo na elimu.Itumike njia gani? Watu wakishaelimika, wataamua wenyewe.
Na hakuna kitu kikubwa katika maisha y binadamu kama elimu....
Acha elimu ije kwa njia za kihuni, kama wanavyoishi wahuni, ili waondolewe kihuni hivyo hivyo
Uanze kutumia mwenyewe kwanza....hebu tuache unatuchosha😂😂😂😍tumia maarifa yatokanayo na elimu.
Usipotumia maarifa huwezi kunielewa ...au utachukua muda mrefu sana kunielewa
Kwa waungwana kudeal na mhuuni kiungwana tunahesabu huo ni uhuni type two.Hivyo muhuni aendewe kihuni japo uungwana wako unaujua mwenyewe pamoja waungwana wengine.Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu.
NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!