Huwezi kuwa mwana-CCM kama siyo mbinafsi

Huwezi kuwa mwana-CCM kama siyo mbinafsi

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mtanzania yeyote mwenye akili timamu hawezi kuishabikia CCM na ukimuona mtanzania yupo CCM jua ama anaitumia CCM kwa maslahi yake binafsi au anatumiwa na wanaoiongoza CCM kwa maslahi yao binafsi.

Huwezi kwa sasa kuwa mwana CCM kama wewe siyo mbinafsi.
 
BINADAMANU WOTE KIASILI NI WABINAFSI

MFANO ULIONA ILE KUELEKEA 29/10

Kuna members walihamasisha maandamano na wakawa wanatunga na uongo kuwa jeshi litawalinda waandamanaji .

Ila wao au familia zao hazikuandamana wala kuingia barabarani .

Means wanaamini kuwa wanabidi kufa au kuumia watu wengine na sio wao.

EBU ONA HII

👇🏾

unafikiri huyu member aliandamana na kwanini hakuandaman means anaogopa kuuliwa au kuumizwa .


So usipotumia akili Ila ukaishi kwa mihemko atakayeumia ni wewe .

No body is there to secure ur life.
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 18
BINADAMANU WOTE KIASILI NI WABINAFSI

MFANO ULIONA ILE KUELEKEA 29/10

Kuna members walihamasisha maandamano na wakawa wanatunga na uongo kuwa jeshi litawalinda waandamanaji .

Ila wao au familia zao hazikuandamana wala kuingia barabarani .

Means wanaamini kuwa wanabidi kufa au kuumia watu wengine na sio wao.

EBU ONA HII

👇🏾

unafikiri huyu member aliandamana na kwanini hakuandaman means anaogopa kuuliwa au kuumizwa .


So usipotumia akili Ila ukaishi kwa mihemko atakayeumia ni wewe .

No body is there to secure ur life.
Lazima mtu mbinafsi atetee ubinafsi wake!
 
Binadamu ni kiumbe kisichoeleweka,chenye utata,inaweza kuwa ubinafsi au nafuu ya binafsi au mbaya zaidi.

Kitu cha uhakika ni kuwa 'wengi wao' hawako sawa kifikra,kimaadili na kimtazamo ni watu wenye dhamiri mfu.
 
Back
Top Bottom