Huwezi kuwapa dola chama kinachoendeshwa na rimoti za Instagram

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
 
Anayewapa dola ni CCM au wananchi?.
 
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
Mijitu kama wewe inatakiwa kupigwa risasi hadharani.
 
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
Nchimbi, Polepole ni wakaa uchi?
 
Boya Boya, stay back. Chadema ni taasisi mkuu, huoni mwenyekitu yupo behind bars yet mambo yanakwenda tu smoothly kazini na wananchi wanasupport Tone Tone huku na kule. Huko mbogamboga mwenyekitu mwenyewe na makamu wake walipita bila kupingwa, few days later makamu anaambiwa ajiuzuru. na wote wamepenya kwenye dirisha lile lile, such a bad time to be alive. Wish ningekuwepo enzi za mkoloni mweupe maana huyu black ni the worst.
 
Hakuna dola hapa labda muite senti au shilingi, fanyieni kazi madudu ya anasema CAG mpunguze kukopa kopa.
 
Kweli kabisa mara kumi kuongozwa na wauaji , watekaji na wafiraji.
 
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
yaani vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi wana ndoto ati siku moja nao wapate nafasi ya kuongoza serikali ya Tanzania, surely?

ebu kwanza mie ncheke :pedroP: 🤣
 
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
Umeanza lini kuimba taarabu....we ke au me ?
 
Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima

Taifa hili halikuanzushwa rejareja kiasi hiko eti chama cha siasa kinachoweza kuendeshwa na mabinti wakaa Uchi wa mtandaoni kikapewe Serikali na kusimamia rasilimali za kipekee zinazopatikana Tanzania tu.
Hebu tuwe na heshima kwa watanzania
Bora huyo anayekaa UCHI kuliko wewe unayesukumiwa mshedede ili ulipwe kupost utumbo,yan unafumuliwa mtaro kwa cheap popularity yakuchafua watu...🗑🗑🗑
 
Back
Top Bottom