Huwezi ng’ang’ania TZ Sweetheart baada ya kuachwa, tumia hata Buguruni Sweetheart – RC Makonda

mm leo ndo nnaaamin ana vichembechembe huyu..hizo teams waachiwe vijana..tena wasio na ajira wachambane weee!llakn dume zima kushadadia upupu jamani!..mm ndo nasikia kwako kumbe hamisa ndo sweetheart wa tz!🙂🙂 hongera zake
Maujinga ujinga tu yaan kuongelea vitu hata havina maana kwa sehemu alipo yeye
 
Kwa hiyo wewe hapa unapocomment huna la kufanya?

Tusijidanganya Mkuu wa mkoa sijui waziri wote ni binadamu wana vitu wanavipenda kwenye burudani. Kuna wengine wanapenda muziki, bongo movies na wengine mpira wa miguu. Kwa hiyo sishangai mkuu wa mkoa kuongelea hilo swala provided hajaongea kama mkuu wa mkoa ameongea yeye kama yeye binafsi, kwa wakati na mazingira sahihi na husika.

Tusitake kuwadisown viongozi wetu kwenye jamii. Unakuta mtu anasema Makonda anaongelea vitu vya kipumbavu unajiuliza je inamaana hata yeye anafuatilia upumbavu? Kweli unataka kusema wote tuliopo kwenye jukwaa hili ni wapumbavu? Wote tunaocomment hapa ni wapumbavu? Je ingekuwaje kama angekuwa ameongelea simba na yanga? Au mtibwa na Mbeya city? Au Ali kiba na Diamond?

Hao akina Wema na Hamissa ni Socialites mtu yeyote aliyepo mtandaoni na mpenda burudani anawafahamu. Why not Makonda?

Nashangaa watu pia wanaingiza siasa pia hivi mmesahau Wema alivyokamatwa na bangi viongozi wote wa upinzani walikuwa upande wake? Akina Tundu Lissu, Kibatala ndiyo waliokuwa wanakwenda kumtetea? Halafu mahakama ikawa inafurika akina mbowe, Lowassa, Mnyika, Bulaya, Mdee nk? Ilikuwa upumbavu? Mbowe alikuwa anashinda na Wema kama PS wake tushasahau.
 
Rais wa wanaume wa dar akingurumaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aisee
 


wenye kuelewa wameelewa!ukikua utaelewa!...endelea kujifunza
 
Hahaha hongera
 
Ukisoma comments tu za wadau unaweza pata picha kilichopo kwenye video,mnatusaidia sisi wa Freebasics tusioweza fungua video.Ahsanteni sana
 
hahahahaa mm nahisig km ana ulimi mkubwa !hahaaaa umenichekeshaaaaaaaaaa!

Hehehe
Hili akili halina, haliwezi kuji-behave kama mwanaume tena kiongozi na majukwaa ya kike sijui linatafta nini, tuseme ndo linataka kwenda basi ongea kama kiongozi napo hawezi.

Tulikosea sana 2015 kuwachagua wasukuma maana wanaendelea kudhihilisha ulimbukeni wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…