Asee! Tumefika huku watuna sapoti wizi mkubwa vile hadharani?Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
Hivi hujui kuwa unaweza kutengeneza watu wanaojitoa mhanga?
Au mnadhani watanzania hawawezi kubadilika?Msijidanfanye