4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
hv unahisi 1.5T ubahisi ni sawa na 41B , tuoneshen alichoacha huyo mzee chenye hata nusu thaman ya hiyo 1.5T ,mkiwa mnaitwa sokwe huko ughaibuni msilalamike , leo mnamsingizia USA kwa nyiny kumuua Ghadaf , the same hapa mnasema JPM aliiba 1.5T halaf hata nyumba yake haifiki thaman ya 500m na yule mzee hajaacha sheli za mafuta kila wilaya Tz nzima wala hajaacha share kweny UDA pia hana hisa huko kweny mwendokasi pia hana magari ya mizigo wala mabus ya mikoa , Sijui hizo 1.5T alipeleka wap maana hiyo ni bajet ya nchi nying sana kwa mwakaHata mtu wenu alipigwa na karma na ilikuwa mbaya sana!!
Mama ameletwa ili kukamilisha hasira ya Mungu kwa wote waliotenda ubaya!!
She is far better kuliko yule jamaa wa chato aliyekula 1.5 Trilion na bado hela ya Plea bargaining haijulikani ilipo!! Jambazi la kimataifa!