Kwann hamkumzodoa alipoiba?Kumbe mnajua zipo chato, mwaka wa 3 huu mnasubiri nn kuzirudisha?au mnamuogopa marehemu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann hamkumzodoa alipoiba?Kumbe mnajua zipo chato, mwaka wa 3 huu mnasubiri nn kuzirudisha?au mnamuogopa marehemu?
Acha kuruka ruka km kuku anaetaka kutaga, jibu hoja mmeshindwa nn kuzirudisha hizo 1.5T alizoiba mwaka wa 3 huu tangu alale?Kwann hamkumzodoa alipoiba?
Bila kaudikiteta dikiteta ka kuzilinda mali za Umma za Nchi hii hatufiki popote !!Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Huwa sibishani na sukuma gang. Maana bado yana majonziAcha kuruka ruka km kuku anaetaka kutaga, jibu hoja mmeshindwa nn kuzirudisha hizo 1.5T alizoiba mwaka wa 3 huu tangu alale?
By theway mambo ya kuzodoana ni mambo yenu wanawake wa uswahilini, wanaume hua hatufanyi huo ujinga wenu, ukishamzodoa then what?
Km kawaida yako unaruka ruka, Jibu hoja tangu jamaa amesepa mmesha recover how much ktk io 1.5T?Huwa sibishani na sukuma gang. Maana bado yana majonzi
Usimwite jamaa. Ita jiwe.Km kawaida yako unaruka ruka, Jibu hoja tangu jamaa amesepa mmesha recover how much ktk io 1.5T?
Whatever you want him called...jibu hoja hizo 1.5T mmerecover how much so far?Usimwite jamaa. Ita jiwe.
0.2 trilioni tu.Whatever you want him called...jibu hoja hizo 1.5T mmerecover how much so far?
Acha uongo!Umekunywa "kyai"?Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
As furhther as we couldn't imagine!Howya doing,pasy?Whatever you want him called...jibu hoja hizo 1.5T mmerecover how much so far?
So where is the rest of it? 1.3T0.2 trilioni tu.
Law of the Universe = What goes around comes around !! Karma !! 🙏🙏I believe in Law of Karma
Mabuti ya kijeshi uyaone mafupi mepesi/Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
vip na report ya ASSAD kuhusu utombo alio fanya JPM wa Trillion 1.5 mbona husemi ule ni ufisadi mkubwa kuwai kufanyika nchiniMagufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Hivi unaweza kuweka hapa sehemu ya ripoti ya CAG ikionesha hela zimeibwa kipindi cha mama zaidi ya hizo 800m za mikopo vikundi halmashauri?Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Hakuna cha serious,Mkuu em kuwa serious basi on critical matters threatening the nation. Weka ushabiki pembeni kwanza.
Hiyo ripoti ya CAG ni kama nyingine tu zilizopita. Tofauti ya hii na ya enzi za JPM ni kwamba mama ameiacha itoke bila kuchujwa. La muhimu tu achukue hatua kwa wahusika.Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Hata mtu wenu alipigwa na karma na ilikuwa mbaya sana!!I believe in Law of Karma
Sisi wa CUBA TumeshakuelewaMagufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
We andika andiak tu kama umekatwa kichwa vile KARMA IS REAL. unagikiri msoto wanaopata watz ni wa kitotoHata mtu wenu alipigwa na karma na ilikuwa mbaya sana!!
Mama ameletwa ili kukamilisha hasira ya Mungu kwa wote waliotenda ubaya!!
She is far better kuliko yule jamaa wa chato aliyekula 1.5 Trilion na bado hela ya Plea bargaining haijulikani ilipo!! Jambazi la kimataifa!