Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

Huwezi ukaongoza nchi kwa visasi ukafanikiwa. NEVER!

Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.

Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.

Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.

Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.

Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...

Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.

Em mnipishe kwanza..

Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
Tatizo lipo ccm na mifumo yao ya kujuana!
Ujue wamebadilika sana sidhani kama Bado wanaamini kwenye JEMBE NA NYUNDO!!
 
Kuna taarifa pia ya CAG ilibainisha 1.3 trilion hazijulikani zilipo lakini kelele hazikupigwa hivi. Taarifa hii ni ya ukiukwaji tu wa taratibu.
Mkuu siyo 1.3 trilioni ilikuwa ni wizi wa 1.5 trilioni . Na aliyeziiba alikuwa jiwe mwenyewe akazipeleka Chato.

Jiwe!!! Naomba serikali inipatie ulinzi nikalichape kaburi lake
 
Kwanza umetumia lugha isiyokuwa ya kiungwana (vitisho) kwenye uzi wako umesema mama hatofika 2025. Hebu tuambie ataenda wapi?
Ila wewe unathibitisha sana kuwa ulikuwa victim wa ufisadi au vyeti fake. Wenzio wana forgiveness na ungerepent Kwa yote uliyoyafanya, you still have a chance of forgivenes. mwenzio JPM hujui yeye na Mungu wake, angalia nafsi yako!
Next when somebody will jailbreak and reveal “what you are”, spare your self, it is enough
 
Sukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.

View attachment 2581868
kwahiyo kisa sio ya kwanza basi ni sawa tu wezi kuachwa na isiwe mada tena ? zinjanthropusyyyy bado weng sana karne ya 21 na baadae mnasema Mabeberu ndo wanawafanya muwe maskini 41B unarekebisha masoko ya mikoa yote Tz badala kuwa na vile visoko vya kilwa au Njombe au Kibaha au Simiyu au Singidan , HII NCHI SIO RAIA SIO VIONGOX HOPELESS KBS
 
Mbona jiwe alipoiba 1 5 yeye binafsi hukupiga kelele? Unaongelea 41B??? Jiwe aliiba 1.5 trilioni
 
Kuna taarifa pia ya CAG ilibainisha 1.3 trilion hazijulikani zilipo lakini kelele hazikupigwa hivi. Taarifa hii ni ya ukiukwaji tu wa taratibu sidhani kama kuna wizi mkubwa sana uliofanyika japokuwa kweli wizi upo! Nchi yangu Tanzania [emoji1241] [emoji177][emoji177]
tuoneshe chochote chake binafsi alichoacha JPM chenye thaman hata nusu ya hiyo 1.3 T , waafrika ni mijitu ya hovyo sana , ilimuua Thomas Sankara , ikamuua , Nasser , ikamuua Haile Selasie ikamuua Samora Machel , ikamuua Patrice Lumumba , ikamuua Ghadaf pia imemuua Jpm , MLIVYO MICHIMPANZEEE HUWA HAMJIULIZ KWANN VIONGOZ KAMA SSH HUTOSIKIA WAKIANDAMWA NA MABEBERU AU UCHINA , ILA KWANN WANAUA VIONGOZ WALIOTHUBUTU KUZISIMAMISHA NCHI ZAO KAMA THOMAS SANKARA AU NASSER , AU HAILE SELASIE AU PATRICE LUMUMBA AU GHADAF AU JPM ? TUNA MIJITU BADO AKILI ZIPO ENZI ZA ZINJANTHROPUS BADO WANAENDESHWA NA MIHEMKO KULIKO UHALISIA KAZI KUSEMA MIRADI ISIYO NA TIJA KANA KWAMBA WALIKUWA WANAPANDA BAISKEL KWENDA CHINA NA UGHAIBUNI KWINGINE , HII NCHI TUNAIUA WENYEW USWAHILI BADO UNATUSUMBUA SANA HATA KAMA UNAMCHUKIA MTU BASI MSAPOTI PALE ANAPOFANYA JAMBO LA KITAIFA ( LONG LIVE ETHIOPIA NDIO NCHI INAJITMBUA SANA WANA UNITY HAINA MFANO HASA KWENYE MASWALA YA KITAIFA HAWANA USWAHILI KAMA SISI , KAMA HUJAFIKA HUTOELEWA) , SASA HV TUNAENDA KUUA BANDARI ZETU ILI KUONESHA MAGUFURI ALIKUWA SIO SAHIHI KUKATAA MRADI WA BAGAMOYO WANAHISI WANAMKOMOA MAREHEM KUMBE WANAWAKOMOA WAJUKUU ZAO WATAOKUWEPO NDAN YA MIAKA 35 IJAYO , BILA KURUHUSIWA KUCHUKUA KODI HAPO BAGAMOYO HUKU UKIZUILIWA KUENDELEZA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI KWA MIAKA 99 , HII AMEISAINI MTU TIMAMU ANAJIITA RAIS WA NCHI YA TZ UCHAF MTUP HALAF KENGE MMOJA ANAMTETEA KISA TU JPM AONEKANE MBAYA , HATUKOSOI ILI JPM AONEKANE MWEMA TUNAKOSOA ILI TUJIEPUSHE NA MABALAA YA BAADE AFRIKA ILIJIINGIZA KWENYE UKOLON MKAACHIWA ILA LEO HII MNAJIUZA KABISA SIO KUJIKABIZ KAMA MAKOLON BALI KUJIKABIDHI KAMA MALI HALALI YA CHINA , CHINA KUMILIKI KITOVU CHA BANDARI CHA TANZANIA NI KUIKABIDHI NCHI MIKONONI MWAKE MAANA YEYE NDO ATAKUWA MUAMUSHI WA MFUMUKO WA BEI NCHI NZIMA HASA BIDHAA NYING ZINAKUJA KWA NJIA YA MAJINI ( SIAMIN MTU MWENY MIAKA 60 HALIONI HILI ! ) KIUFUPI WAAFRIKA WENG BADO ELIMU HAIJAUONDOA UJINGA VICHWAN MWAO
 
Mbona jiwe alipoiba 1 5 yeye binafsi hukupiga kelele? Unaongelea 41B??? Jiwe aliiba 1.5 trilioni
onesha mali au kitu kaacha chenye thaman hata nusu ya 1.5 T , ( usiseme unabaguliwa ukiitwa majina ya kima huko magharibi sabab wanaona vichwa vyenu akili fupi unaambiwa uongo unaonekana ila kisa humpend mtu fulan bas unaubeba na kueneza uongo huo , ndio maana vita Afrika haziish sio kisa mabeberu bali kisa akili zetu bado zinahitaj msaada wa daktari tunapenda uvumi kuliko ukwel )
 
SASA HV TUNAENDA KUUA BANDARI ZETU ILI KUONESHA MAGUFURI ALIKUWA SIO SAHIHI KUKATAA MRADI WA BAGAMOYO WANAHISI WANAMKOMOA MAREHEM KUMBE WANAWAKOMOA WAJUKUU ZAO WATAOKUWEPO NDAN YA MIAKA 35 IJAYO , BILA KURUHUSIWA KUCHUKUA KODI HAPO BAGAMOYO HUKU UKIZUILIWA KUENDELEZA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI KWA MIAKA 99 , HII AMEISAINI MTU TIMAMU ANAJIITA RAIS WA NCHI YA TZ UCHAF MTUP HALAF KENGE MMOJA ANAMTETEA KISA TU JPM AONEKANE MBAYA ,
🤔🤔🤔
 
onesha mali au kitu kaacha chenye thaman hata nusu ya 1.5 T , ( usiseme unabaguliwa ukiitwa majina ya kima huko magharibi sabab wanaona vichwa vyenu akili fupi unaambiwa uongo unaonekana ila kisa humpend mtu fulan bas unaubeba na kueneza uongo huo , ndio maana vita Afrika haziish sio kisa mabeberu bali kisa akili zetu bado zinahitaj msaada wa daktari tunapenda uvumi kuliko ukwel )
1. Mitumba (mabeloni) kibao yamekutwa nyumbani kwake baada ya kifo chake.
2. Ametumia fedha kibao kwenye ijiji cha Chato alikomaa kukijenga ili kiwe jiji.

Umeridhika??
 
Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.

Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.

Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.

Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.

Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...

Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.

Em mnipishe kwanza..

Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.

Yeyote atayekuja Tanganyika mambo yataendelea kuvurugika zaidi. Hii ni karma ya Uvamizi wa Nyerere kwa Zanzibar na kuuwa maelfu ya watu. Dua ya mwenye kudhulumiwa hairudi. Karma itawapiga mpaka pale mtapotuwacha tukapumua na mkatuomba radhi kwa mnayoendelea kutufanyia
 
Mkuu siyo 1.3 trilioni ilikuwa ni wizi wa 1.5 trilioni . Na aliyeziiba alikuwa jiwe mwenyewe akazipeleka Chato.

Jiwe!!! Naomba serikali inipatie ulinzi nikalichape kaburi lake
Kumbe mnajua zipo chato, mwaka wa 3 huu mnasubiri nn kuzirudisha?au mnamuogopa marehemu?
 
Back
Top Bottom