Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo yoda imenikumbusha ruyagwaHii mboe imenikumbusha Kinuju na Musiba!
Ucjisumbue ndg yangu wengi wao wanamatatizo ya akili hawajui hata wanachoongea na wengi wao ni vjana Toka chademaWhatever you want him called...jibu hoja hizo 1.5T mmerecover how much so far?
Mwenzako kaweka mada kwa maslahi ya Taifa wewe unaweka ushabiki mbele kiasi ambacho unashindwa kujua mtoa mada ni mshabiki mwenzako wa ChademaSukuma gang bwana! Kwahiyo ulitaka mbakishwe ninyi? Mama piga kazi. Ripoti ya CAG siyo ya kwanza hii kuonesha wizi na ubadhirifu serikalini. Ni upepo tu huu,. Utapita.
View attachment 2581868
Duuh!Mwenzako kaweka mada kwa maslahi ya Taifa wewe unaweka ushabiki mbele kiasi ambacho unashindwa kujua mtoa nada ni mshabiki mwenzako wa Chadema
Wamekariri wimbo alafu anashindwa kujua mtoa mada ni mshabiki mwenzake wa Chadema ila kaamua mada yake iwe kwa maslahi ya TaifaKwenu ubaya wa ufisadi mpaka mtazame sura, hizo lawama kazitoa nani?
Kama akizitoa mwenzenu mnamuunga mkono kukemea ufisadi.
Akitoa asiye mwenzenu mnampinga (Sukuma Gang), sijui ni ujinga wa sampuli gani huu.
Hii ndio shida ya kukariri kila anayepinga uongozi Huu basi ni sukuma gangDuuh!
Mwamba umeua kila kitu ushabiki wa kisiasa unaharibu nchituoneshe chochote chake binafsi alichoacha JPM chenye thaman hata nusu ya hiyo 1.3 T , waafrika ni mijitu ya hovyo sana , ilimuua Thomas Sankara , ikamuua , Nasser , ikamuua Haile Selasie ikamuua Samora Machel , ikamuua Patrice Lumumba , ikamuua Ghadaf pia imemuua Jpm , MLIVYO MICHIMPANZEEE HUWA HAMJIULIZ KWANN VIONGOZ KAMA SSH HUTOSIKIA WAKIANDAMWA NA MABEBERU AU UCHINA , ILA KWANN WANAUA VIONGOZ WALIOTHUBUTU KUZISIMAMISHA NCHI ZAO KAMA THOMAS SANKARA AU NASSER , AU HAILE SELASIE AU PATRICE LUMUMBA AU GHADAF AU JPM ? TUNA MIJITU BADO AKILI ZIPO ENZI ZA ZINJANTHROPUS BADO WANAENDESHWA NA MIHEMKO KULIKO UHALISIA KAZI KUSEMA MIRADI ISIYO NA TIJA KANA KWAMBA WALIKUWA WANAPANDA BAISKEL KWENDA CHINA NA UGHAIBUNI KWINGINE , HII NCHI TUNAIUA WENYEW USWAHILI BADO UNATUSUMBUA SANA HATA KAMA UNAMCHUKIA MTU BASI MSAPOTI PALE ANAPOFANYA JAMBO LA KITAIFA ( LONG LIVE ETHIOPIA NDIO NCHI INAJITMBUA SANA WANA UNITY HAINA MFANO HASA KWENYE MASWALA YA KITAIFA HAWANA USWAHILI KAMA SISI , KAMA HUJAFIKA HUTOELEWA) , SASA HV TUNAENDA KUUA BANDARI ZETU ILI KUONESHA MAGUFURI ALIKUWA SIO SAHIHI KUKATAA MRADI WA BAGAMOYO WANAHISI WANAMKOMOA MAREHEM KUMBE WANAWAKOMOA WAJUKUU ZAO WATAOKUWEPO NDAN YA MIAKA 35 IJAYO , BILA KURUHUSIWA KUCHUKUA KODI HAPO BAGAMOYO HUKU UKIZUILIWA KUENDELEZA BANDARI ZOTE ZA BAHARI YA HINDI KWA MIAKA 99 , HII AMEISAINI MTU TIMAMU ANAJIITA RAIS WA NCHI YA TZ UCHAF MTUP HALAF KENGE MMOJA ANAMTETEA KISA TU JPM AONEKANE MBAYA , HATUKOSOI ILI JPM AONEKANE MWEMA TUNAKOSOA ILI TUJIEPUSHE NA MABALAA YA BAADE AFRIKA ILIJIINGIZA KWENYE UKOLON MKAACHIWA ILA LEO HII MNAJIUZA KABISA SIO KUJIKABIZ KAMA MAKOLON BALI KUJIKABIDHI KAMA MALI HALALI YA CHINA , CHINA KUMILIKI KITOVU CHA BANDARI CHA TANZANIA NI KUIKABIDHI NCHI MIKONONI MWAKE MAANA YEYE NDO ATAKUWA MUAMUSHI WA MFUMUKO WA BEI NCHI NZIMA HASA BIDHAA NYING ZINAKUJA KWA NJIA YA MAJINI ( SIAMIN MTU MWENY MIAKA 60 HALIONI HILI ! ) KIUFUPI WAAFRIKA WENG BADO ELIMU HAIJAUONDOA UJINGA VICHWAN MWAO
tupe ushahidi , kama ni kwel hayo yangekuwa stori sasa hv , wewe ulitoa habari wap? PILI CHATO GANI ILIYOTUMIA PESA KIBAO , HUU UZINJANTHROPUS MUWE MNAUFICHA BASI , BONGO UKISIKILIZA MANENO UNAEZA HISI SEHEM IMEKUWA KAMA ULAYA KUMBE HATA LAMI ZA MITAA HAWAZIJUI View attachment 2582104View attachment 2582103View attachment 25821021. Mitumba (mabeloni) kibao yamekutwa nyumbani kwake baada ya kifo chake.
2. Ametumia fedha kibao kwenye ijiji cha Chato alikomaa kukijenga ili kiwe jiji.
Umeridhika??
wew dada , kuna nati hazipo sawa kichwan ko tuache kukemea wizi kisa kuna mtu aliwai iba huko nyuma?Kwann hamkumzodoa alipoiba?
acha ukabila ww znjnthropus , tumetoka huko miaka mingi , mm mtu wa pwan ila sishabikii ufisad hata kdgHuwa sibishani na sukuma gang. Maana bado yana majonzi
bogusUsimwite jamaa. Ita jiwe.
😆Kwani huyu mama ni rais kweli au kivuli? Ni kama msemaji tu!
wekaga na ushahidi maana tushajua una element za mbagala0.2 trilioni tu.
thibitisha uwepo wa mali yoyote kaacha huyo mtu inayofikia hata nusu ya 1.5T , jmn kuna uongo mwingine unajionesha , alipostaf JK tuliona matajir wakidaiwa kodi mpk 1B , pia tuliona wafanyakaz hewa. , pia tuliona mtu mmoja kupokea mishahara 17 , KWANINI AWAMU HII IMEKUWA NA SHUTUMA ZA MDOMONI TUvip na report ya ASSAD kuhusu utombo alio fanya JPM wa Trillion 1.5 mbona husemi ule ni ufisadi mkubwa kuwai kufanyika nchini
Upigaji haujawahi kuisha,ni bora upigaji unaofichuliwa,kuliko upigaji unaofichwa kwa kuwapiga faini wasemaji,iwe tv,redio au magazeti labda kama ni mwana umoja party/sgang itakataa hili,25ml,faini kamata kamata ya akina P,fungia akina Mwanahamisi na wengine zote zilikuwa juhudi za kuunga mkono ufisadi wa aw5🤔Magufuli alikuja hivihivi kwa visasi.. timuatimua wateuliwa wootee wa JK na kuweka wake. Akimnanga JK kila mahala, nchi ilipigwa..watanzania mmeibiwa saanaa..sisi sio masikini... Akaenda.
Mama akaja, yaleyale. Vijembe kwa mtangulizi wake, Ametimua woote wa Magufuli na kuweka wake. Mbaya zaidi mama amewarejesha wale ambao aonavyo yeye walikuwa na nasaba na JK ambao walitimuliwa na Magufuli.
Sasa tizama hili . Hao Mama aliowarejesha, team msoga. Nchi nzima inafahamika kwamba ndio mafisadi makuu ya nchi hii. Sasa ndio wanaongoza nchi.
Mtaani Watanzania wamekata tamaa.. Repoti ya CAG ndo imeharibu kila kitu. Kilichopo mtaani saivi ni kwamba Mama kawaleta watu wake wapige. Na WANAPIGA.
Sasa kinachotakiwa fanyika hapa sasa ni nini. Mama lazima abadili gia, kinyume na hapo hamalizi 2025.. mtaniambia. Hawezi fanikiwa kamwe. KARMA IS REAL...
Sasa kila mmoja anabeba anapoweza anaenda.
Em mnipishe kwanza..
Salamu kwa POLEPOLE hukooo CUBA.
kwahiyo hz 41B walikuwa wanataka kuzitunza tu ? upo uozo mwing watu wanalinda usalama waoHivi unaweza kuweka hapa sehemu ya ripoti ya CAG ikionesha hela zimeibwa kipindi cha mama zaidi ya hizo 800m za mikopo vikundi halmashauri?