Huwezi ukawa mzinzi halafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi!

Wewe unaleta taharuki, Uzinzi sio sub section ya ushoga, sema tu zote dhambi zenye matokeo tofauti ya uovu na uharibifu
 
Kwa uelewa wako uzinzi ni kitu gani?

Unaweza kutoa uelewa wako kwa tafsiri yoyote ile kutoka iwe falsafa, maoni yako binafsi, dini, na utamaduni
 
Watibeli tunaamini kwenye wajibu na uwajibikaji.

Ili usihukumiwe au nisikuhumiwe basi chakufanya ninakijua. Fanya yakiyo mema.

Inaitwa Law of Cause and Effect.

Hutaki bullying basi usisababishwe kufanyiwa bullying ni simple.
Wewe na Watibeli wenzake mna shida mahali.Mnajiweka katika High Moral Ground.Tena ni ninyi Mkifanywaga Bullying Ndo huwa mnajiua kabisa maana mnakuwa mmezoe kubully wengine.Usichofahamu ni kwamba Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza na kila linalotekea katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya Choice ambazo wakati mwingine zinfanywa na watu ambao walitarajiwa kuwa wema.So ninapokwambia Bulying ni Mbaya elewa kwamba Hata baadhi ya Mashoga ni Mashoga kwa sababu ya excessive Bullying.
 
Kwa uelewa wako uzinzi ni kitu gani?

Unaweza kutoa uelewa wako kwa tafsiri yoyote ile kutoka iwe falsafa, maoni yako binafsi, dini, na utamaduni
Uzinzi ni matokeo ya uvunjanji wa agano la mke na mume, kwa namna ingine palipo na mapatano ki agano yanapo kiukwa hudo ndio uzinzi
 
Ushoga its against nature and biology. Uzinzi ni dhana tuu (haupo), kitendo kinaitwa kujamiiana, nyie ndio mmeenda mbali mmeuwekea kanuni kuita uzinzi. Uzinzi haupo kiuhalisia, uzinzi ni dhana binadamu wameweka. Nature na biolojia inatambua KUJAMIIANA (Uume unaingia kwenye Uke).

Tunakataa na kuupinga ushoga sababu its against nature and biology. Huwezi tumia tundu ambalo nature/baiolojia imeliunda kupitisha taka (kinyesi) kujamiiana. Huwezi tumia sikio kunusa, sikio lipo kwa ajili ya kusikia. Na huwezi tumia macho kusikia, unatumia masikio kufanya hivyo.
 
Uzinzi haihusiani na mambo ya agano.
Wewe ukisema ulale na ng'ombe na bado hujaoa unafikiri pale utakuwa unafanya nini?

Uzinzi ni kufanya matendo ya ngono(sex) kwa njia isiyo halali, wakati usio halali, na mhusika asiye halali.
 
Wewe na Watibeli wenzake mna shida mahali.Mnajiweka katika High Moral Ground.Tena ni ninyi Mkifanywaga Bullying Ndo huwa mnajiua kabisa maana mnakuwa mmezoe kubully wengine.Usichofahamu ni kwamba Jambo usilolijua ni kama usiku wa Giza na kila linalotekea katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya Choice ambazo wakati mwingine zinfanywa na watu ambao walitarajiwa kuwa wema.So ninapokwambia Bulying ni Mbaya elewa kwamba Hata baadhi ya Mashoga ni Mashoga kwa sababu ya excessive Bullying.

Unachokataa ni mtu kuwajibika kwa matendo yake?

Bullying ipo na itaendelea kuwepo hata ukiwa wapi.
Kama ukifanya jambo zuri utapongezwa basi elewa ukifanya jambo baya utafanyiwa Bullying ya kutosha tuu. Utake usitake na hilo hakuna wakubadilisha kwa sababu ni nature
 
Uzinzi haihusiani na mambo ya agano.
Wewe ukisema ulale na ng'ombe na bado hujaoa unafikiri pale utakuwa unafanya nini?

Uzinzi ni kufanya matendo ya ngono(sex) kwa njia isiyo halali, wakati usio halali, na mhusika asiye halali.

Uhalali au uhalamu katika kujamiiana kumeletwa na nani? Nani amesema hii ni haramu na hii sio haramu?
 
Kivyovyote vile mtu anayecheza na kinyesi lazima akili ifyatuke , hakuna namna ya kuulinganisha upumbavu huu na upumbavu ule

Katoa boko lingine! 😊
Anataka kuunganisha hili na lile, liwe kitu kimoja ambalo kwa fact linakataa. Hii ni wishful thinking sio comparative analysis.
 
Maadili kayaleta nani? Biolojia imeleta maadili?

Kibaolojia ngono ipo kwaajili ya reproduction basi. Ambapo asilimia 99% ya wanyama hufanya ngono kibaolojia ili wazae.

Lakini ngono sio tendo tuu la kibaolojia bali ni tendo pia la kisaikolojia
Kwenye psychology needs ngono ni mojawapo ya basic need ya mwanadamu.
 
Uhalali au uhalamu katika kujamiiana kumeletwa na nani? Nani amesema hii ni haramu na hii sio haramu?

Uhalali na uharamu ni mambo ya Kisaikolojia yanayotokana na mahusiano na kuchangamana kwa watu wenye mahitaji, maslahi, mitazamo na akili tofauti.
Ili watu wasigombane ndipo mambo ya maadili yakajitokeza. Kuzuia migogoro ambayo mingi inatokana na mambo ya kisaikolojia.

Mfano, wewe ukitoka na mke wangu au mimi nikitoka na mkeo. Nini kinakufanya uumie? Hizo hisia ni mambo ya kisaikolojia na yapo kiasili.

Unapofanya uzinzi na mama yako ile heshima ya mama na baba yako itaondoka automatically. Na migogoro na nduguzo na baba yako itakuwepo.
Ndio maana matendo yanayohusu ngono inayodhuru yakaharamishwa yakaitwa Uzinzi.

Ngono haramu ni pamoja na wewe kutoka na mzazi, mtoto, ndugu yako, mnyama, kutoka kinyume na maumbile, na kutoka na mtu ambaye umri wake haujafikia.
 
Kivyovyote vile mtu anayecheza na kinyesi lazima akili ifyatuke , hakuna namna ya kuulinganisha upumbavu huu na upumbavu ule

Uzinzi ni uzinzi Bwashee!
Ukichukulia ngono kama tendo la uchafu. Hata kwenye Uke kuna uchafu mwingi unakuwepo na unapita. So hapa unazungumzia ishu nyingine ya hygiene ambapo wanaofanya kitendo hicho watakujibu kirahisi sana na wakiwa comfortable
 
Katoa boko lingine! 😊
Anataka kuunganisha hili na lile, liwe kitu kimoja ambalo kwa fact linakataa. Hii ni wishful thinking sio comparative analysis.

Unataka kutenganisha uzinzi na ushoga? Wakati haiwezekani kabisa.
Yote ni matendo ya ngono yasiyo halali.
 
Ushoga its against nature and biology. Uzinzi ni dhana tuu (haupo), kitendo kinaitwa kujamiiana, nyie ndio mmeenda mbali mmeuwekea kanuni kuita uzinzi. Uzinzi haupo kiuhalisia, uzinzi ni dhana binadamu wameweka. Nature na biolojia inatambua KUJAMIIANA (Uume unaingia kwenye Uke).

Tunakataa na kuupinga ushoga sababu its against nature and biology. Huwezi tumia tundu ambalo nature/baiolojia imeliunda kupitisha taka (kinyesi) kujamiiana. Huwezi tumia sikio kunusa, sikio lipo kwa ajili ya kusikia. Na huwezi tumia macho kusikia, unatumia masikio kufanya hivyo.
Uzinzi na uasherati(kwa Wagalatia) na Zinaa(kwa Kobaz) ni mambo yaliyokatazwa na mungu wa Wakristo na Waislamu. Kama uko kwenye dini hizi lazima upige vita uzinzi na uasherati, kwenye dini hizi mbili hizo sio dhana tu bali maagizo ya mnyazi mungu.

Kwa Wagalatia Uzinzi ni mke au mume kuchepuka, uasherati ni kufanya ngono kwa mtu asiye na ndoa.

Kwa Kobaz zinaa ni matendo yote ya ngono nje ya ndoa.
 
Back
Top Bottom