Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 9,140
- 15,963
Utajiju 🙄Kama ambavyo Yesu haeleweki, mara Mwana wa Adam, Mwana wa Daudi , Mwana wa Mungu , Mfalme wa Amani ( alidai tena hajaleta Amani Bali upanga) Mungu mkuu, Mungu pamoja nasi , Emanuely , mara Mikael , mara Yesu mnazareti n.k