Huyo ndo Rambo

Huyo ndo Rambo

Kama ambavyo Yesu haeleweki, mara Mwana wa Adam, Mwana wa Daudi , Mwana wa Mungu , Mfalme wa Amani ( alidai tena hajaleta Amani Bali upanga) Mungu mkuu, Mungu pamoja nasi , Emanuely , mara Mikael , mara Yesu mnazareti n.k
Utajiju 🙄
 
Ila tuache utani, Rambo ana mabinti wazuri munooooooo[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Weka sapotingi dokumenti basi
 
Rambo ni mtu maarufu Sana kwa Tanzania imegine mpaka 2016 kila mtanzania alikuwa anaita plastic bag, ( mifuko ya plastiki) ati ni mifuko ya rambo? Kwa vile kulikua na picha yake juu ya mifuko hiyo jina lake limetrend Sana ingekuwa busara Sana wajenge lisanamu lake pale jangwani alafu aje azindue kwa heshima aliyoipata kutoka kwetu watanzania!

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom