TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
could be, coz the title is already biased and he is blaming other men and portraying a saint scene on his sideSomewhere someone somehow is being paid to be a gender-crusader!
what a gentleman!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
could be, coz the title is already biased and he is blaming other men and portraying a saint scene on his sideSomewhere someone somehow is being paid to be a gender-crusader!
mimi ni my wife wako?

ndugu yangu bugumya huko ndiokupitwa na wakati kwenyewe siku hizi wanawake ndio wanategemewa kwa kiasi kikubwa kutunza familia financially kama unavyojua kwamba wengi wamesoma na wanafanya kazi kama wanaume. Labda mkeo mama wa nyumbani tuhint. Imagine unarudi umechoka unakaa kwenye kochi unawatch telly, bibie sometimes anafanya kazi more demanding then aje akukurike na wewe unamwuita akuletee glasi ya maji au mtoto analia. Je huu ni uungwana?try to be on her shoes ndio utaelewa.

tatzo lenu hamkawii kuigeuza favour kuwa right!

tatzo lenu hamkawii kuigeuza favour kuwa right!
could be, coz the title is already biased and he is blaming other men and portraying a saint scene on his side
what a gentleman!!
Na ishu ya kuacha matumizi ya nyumbani mbona hujaiongelea??
Kila mtu ana roles zake kwenye familia mkuu!
Mkuu am married over the past 4 years.
Mi mwenyewe kabla ya kuoa dreams zangu zilikuwa hivyo kwamba wife anitumikie kwa kila kitu. Baada ya kuingia ndani ya ndoa nikaona hakuna dili yoyote, na kiukweli kuna baadhi ya kazi huwa namsaidia wife na hazijawahi kuniondolea/na hazitaniondolea uanaume wangu, na badala yake inaniongezea upendo kwa wife.
Kwangu mimi, kutaka kila kitu eti ufanyiwe na wife, ni fikra mgando.
Ashakum si matus: Kuna baadhi ya men hata nguo zao za ndani wanawaachia wake zao wafue....shame!

mwanaume kujua fungu la nyanya sokoni ni sh ngapi na vitunguu vya mia ni vingapi ni haki? kila mtu akae kwa heshima zake bwana yaani mume wangu kabisa atwange tangawizi na kukuna nazi sipati photo

Salaam wadau,

Nimejaribu kuangalia kwa kina maisha ya ndoa hasa hizi za kiafrika, kipekee za kitanzania na nimegundua kuwa wengi wa wanaume huwafanya wanawake kuwa ni "watumwa" wao.

Yaani wanaume huwatumikisha wake zao kupita kiasi. Kuanzia kufua, kupika, kuosha vyombo na mikazi mingine kibao....bado mume akiwa ameketi atataka apakuliwe chakula, atengewe, hadi mikono eti anawishwe...Hivi ni kweli wewe mwanaume unashindwa hata kupakua chakula kutoka kwenye hotpot hadi upakuliwe..?

Mara atataka anyooshewe nguo, viatu ang'arishiwe....dah too much jamani!

Hivi huyo ni mkeo au mtumishi wako..!?

Modern men need to change bwanaaa!

mwanaume kujua fungu la nyanya sokoni ni sh ngapi na vitunguu vya mia ni vingapi ni haki? kila mtu akae kwa heshima zake bwana yaani mume wangu kabisa atwange tangawizi na kukuna nazi sipati photo
lakini pia ujue kwa familia zilizo nyingi siku hizi watu wote ni wafanyakazi na huchangia, I mean mwanaume pamoja na mke wake wote huingia maofisini kusaka!Na ishu ya kuacha matumizi ya nyumbani mbona hujaiongelea??
Kila mtu ana roles zake kwenye familia mkuu!
Mkifata dini hususan Uislaam, mwanamke ni wa kulishwa na kuvishwa na akae ajipambe kwa Mumewe tu.
Nakubaliana na mleta mada, wengi hufanya wake zao ni watumwa nadhani hawa hawana "taaluma" (kwenda shule pekee si kuelimika).
"Wapambeni wake zenu kwa herini na dhahabu"
Hivi hawamuwaoni hata wapemba....nenda unguja uone kama kuna mwanamke anaenda marikiti..