Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Imekuwa timu ya Malaika kwamba isifungike?Si mnautaka ubingwa? Mfungeni Yanga kama mnaweza.
Kaka Mangungu malaika tena au bado hujarecover?Imekuwa timu ya Malaika kwamba isifungike?
Na mdomo utawaponzaImekuwa timu ya Malaika kwamba isifungike?
Mlijiita nyie ni Mungu kwamba mnaweza kucheza hata na malaika mkawafunga..ngoja tuone basi.Si mnautaka ubingwa? Mfungeni Yanga kama mnaweza.
Fadullah Davidus wa mtaa wa walambishwa lambalamba.Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naombeni utambuzi
Huyo nani? Why yuko pekee?
Watakula hamsa + mbili siku hiyo.Chinjioni hawachomoki na baada ya kupitia chinjioni kitoweo chao kinaandalia biliani.Si mnautaka ubingwa? Mfungeni Yanga kama mnaweza.
Malaika wenyewe wamefungwa sembuseImekuwa timu ya Malaika kwamba isifungike?