Huyo Rahisi wenu kila siku yupo Zanzibar?!

Mbali ya uraisi ana majukumu mengine kama mke na mama.

Ikiwa zamu yake imefika inabidi uraisi aweke pembeni apeleke haki ya Baba Abdul.

Raisi kwenu, kwa Baba Abdul ni my wife mke wake. Mzee baba akitamani kuku wa kubanika maza inabidi akwee bombardier akachakarike jikoni.

Una uhakika na unachokinena?😂😂😂😂
Baba Abdul gani?
 
Ndio kwao huko. Mbona Magu alikuwa hakatiki Chattle. Afu kitu kingine mnachokosea yule ni Mwanamke kuna majukumu kama mke lazima ayatimize.
I did not make rules, nature did.
 
Una uhakika na unachokinena?😂😂😂😂
Baba Abdul gani?
Alhaj Hafidh Ameir, nyongo mkalia ini wa mama.

1735660773290.jpeg
 
Ujinga uliofanyika 2015 usijirudie tena,ikiwezekana 2025 huko ccm fomu za urais ziwe nyingi ili kusawazisha makosa ya 2015.
 
Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar.

Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar.

Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?!

Inachosha bwana!

Bora hata ya Hayati aisee.
Nenda weweeweee

Kama huendi kwenuu unahisi wotee kama weweee

Endelea kuwatumia WAZAZI helaaa wenzio wanaenda kubarikiwa na WAZAZI waoo live

Pdidynewyr
 
YAAN MWAKA MPYA AKAE DAR AMA DODOMA ANASHIDA GANI KHA

KAZALIWA ZNZ MKUU

POLE PENGINE. HUJUI ANATOKEA WAPI
 
Mbali ya uraisi ana majukumu mengine kama mke na mama.

Ikiwa zamu yake imefika inabidi uraisi aweke pembeni apeleke haki ya Baba Abdul.

Raisi kwenu, kwa Baba Abdul ni my wife mke wake. Mzee baba akitamani kuku wa kubanika maza inabidi akwee bombardier akachakarike jikoni.
Rais haruhusiwi kuingia jikoni kupika ni protocol
 
Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar.

Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar.

Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?!

Inachosha bwana!

Bora hata ya Hayati aisee.
Rudi darasani kwanza...

...Ni hayo tu!!
 
Muda mwingi rahisi atafanya hivi na vile akiwa Zanzibar.

Mara, rahisi yupo na Dotto magari Zanzibar.

Aisee, mbona hakauki huko Zanzibar?! Dodoma ambapo ndipo Ofisi yake ilipo anakaa muda gani huyo rahisi?!

Inachosha bwana!

Bora hata ya Hayati aisee.
Nenda shule ukasome kuandika ndo uje hapa na uzi! Ni Rais, sio Rahisi!
 
Back
Top Bottom