Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwa nini usitumie nafasi yako kusikiliza changamoto ulizoziona kwao na kuwashauri,kutoa miongozo, kusahihisha,kuelimisha na kutoa muda wa matazamio?Kuna vyeo ukipata kazini USIPOKUWA NA HEKIMA KUBWA na busara lazima watu usigane na kukwaruzana na watu, na hata kuashiri mahusiano yako na wafanyakazi wenzako kazini.
Kuna kazi zingine zinakulazimisha uwe whistle blower kazini,uwe kama mtu unayeibua mapungufu weakness za idara mbalimbali na kuzipresrnt kwa bosi ili kugundua mapungufu yetu ya ndani na KUBORESHA HUDUMA.
MFANO
Quality assurence
Auditor
Supervision
Mkaguzi
Mkuu wa idara
inahitaji hekima kubwa na busara
DILEMMA IKO HAPA
ni kweli unapoenda kuwakagua watumishi wenzako kwenye taasisi unapata kuna ma gap gap mengi...kuna madudu mengi...
sasa ukikimbilia kuya REPORT kama yalivyo kwa BOSI unayewajibika kwake,,UTAWACHOMA WENZAKO.
usiporipoti hayo madudu uliyoyakuta ulipoenda kufanya supervision au ikaguzi..ina maana HUJATIMIZA MAJUKUMU YAKO..bosi anaona hufanyi kazi yako sawasawa.
NB; Umeweka utetezi wa kitaalamu na kiutendaji lakini,wanaoelezwa zaidi hapa ni wale ambao wanaweza kuwa hawana ukuu kiidara/kitengo lakini ni wahitimu na waongowaongo tu dhidi ya watumishi wenzao.