Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
Vita ni vita
Ndo hali ninayopitia...kuna washenz washaungana kunichoma kwa boss...ila boss mwenyewe anawajua uteendaji wa na wangu...so wakitaka kupeleka huo ujinga wanaona kabisa boss atanitetea..wamebaki tu kijinunisha..na mimi ndo kabisaa sina habar nao...hakika usiwaamini sana wasambaa na watu kutoka kanda maalumu..Kama anachongewa akiwa anatimiza majukumu yake kazini, kwakweli hilo ni jambo baya sana na la kukemewa. Ila kama hatimizi majukumu yake hatakiwi kulalamika kuwa anachongewa. Afukuzwe tu kazi!!
Hao wapare na wasambaa ni wale wale tu..wanakukenulia meno kumbe wanakuchora tu1.Wakati naanza kazi nilikutana na jamaa anaitwa GEORGE MSANGI (Mpare) alikuwa na Elimu ndogo sana kwangu na nilimkuta yeye ndiye mkuu wa Idara .Baadaye Boss alibadilisha wakuu wa Idara nikachaguliwa Mimi yule Mpare alifanyia visa mpaka nikaacha kazi Mwenyewe .
2.Nikapata kazi Mbinga nikakutana na EMMANUEL EDWARD EZEKIEL (Msukuma) .Huyu alikuwa ananizidi Elimu lakini anauwezo mdogo sana ,nolivyoonesha uwezo wangu na nikaanza kupendwa zaidi yake .Alinifanyia visa vya hatari nikaondoka bila kuaga .
3.Nikakutana na Mpare na Msukuma
(GEORGE LUFUKUJA -Msukuma )
Michael Kilimba -Mpare
Rangi zote niliziona nikaacha kazi
Aiseee kuna muda nawaza kulipa kisasi lakini moyo unasita sana