Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

Huyo unayemwita fundi wako ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wako katika sekta fulani.

Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukimchekea.

Mifano ni mingi njtakuja kuwaletea.

Usimwamini fundi!
 
Mfano fundi wa kujenga nyumba, unajenga nyumba ya mamilioni, halafu fundi unamlipa malaki huo ni unyonyaji, mafundi wamekuwa wakidharauliwa sana na wateja wao ndio maana wengi wao hawana maendeleo, wanapewa hela ya kula tu, mi kama fundi na shule nimeenda mteja wangu hawezi kuniburuza kwenye bajeti yake ni lazima mimi ndiye nimpangie gharama ya huduma anayotaka kutokana na bei ya vifaa madukani na mimi kama fundi nifaidike nisiishie kumfanyia mteja kazi ya bure
 
hufai wew kwahyo unataka ulipwe hela sawa na bei ya bidhaa? ndo maana hujawa fundi umebaki na maneno ya ningekuwa ningekuwa
 
Habari!
Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wake katika sekta fulani.

Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukichekea.

Mifano ni mingi takuja kuwaletea.
Usimwamini fundi
Kwani ata wewe mbona kuna watu unawapiga tu sasa we hutaki upigwe? Ushaambiwa nchi hii kila mbuzi ale urefu wa kamba yake..!
 
hii kujifanya ujuaji ndio mnatandikwa nilimwambia mteja kioo 55000 ila kioo ni 50000 niliongeza 5000 ya kubrashi viatu sasa akajifanya mjuaji twende dukani nikamwambia sAWA kufika dukani muuza duka wanaelewa kabisa fundi akija na mteja kazi ni mmoja kumnyoosha kufika akaambiwa kioo 65000 akalipa na usafifiri akalipa baadae nikarudi kuchukua 15000 yangu
 
Usitoe siri mkuu mabosi wanapitia humu bhna😂🤣😂
 
Mimi kwa mfano fundi wa gari sinaga mmoja
Mkuu kuna uwezekano wa kuja kulia kwenye suala la kubadilisha fundi gari. Fundi nyumba, fundi nguo au fundi vitasa sijui unaweza ukabadilisha ila kwenye vyombo vya moto utakuja kulizwa sio kupigwa tu.
Ukiwa na fundi mmoja wa gari ni rahisi kutrack vifaa na rekodi ya gari yako. Mf. Akila masega au akiiba bifaa OG na kuweka fake unajua ni nani ila kama wako wengi huwezi kujua ni nani labda kama unakaa hapohapo.
 
Mimi nina fundi mmoja tu ninayejua anajua anachokifanya.... ni bora nipigwe hizo 20,000 kwenye vifaa kuliko kwenda kwa fundi nisiyejua uwezo wake.... unaweza kulipa zaidi ya hicho unachotaka kuokoa.
 
Back
Top Bottom