GREGO
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,279
- 2,921
Kwani lazima niende duka utakalonielekeza?hii kujifanya ujuaji ndio mnatandikwa nilimwambia mteja kioo 55000 ila kioo ni 50000 niliongeza 5000 ya kubrashi viatu sasa akajifanya mjuaji twende dukani nikamwambia sAWA kufika dukani muuza duka wanaelewa kabisa fundi akija na mteja kazi ni mmoja kumnyoosha kufika akaambiwa kioo 65000 akalipa na usafifiri akalipa baadae nikarudi kuchukua 15000 yangu