Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
hufai wew kwahyo unataka ulipwe hela sawa na bei ya bidhaa? ndo maana hujawa fundi umebaki na maneno ya ningekuwa ningekuwaMfano fundi wa kujenga nyumba, unajenga nyumba ya mamilioni, halafu fundi unamlipa malaki huo ni unyonyaji, mafundi wamekuwa wakidharauliwa sana na wateja wao ndio maana wengi wao hawana maendeleo, wanapewa hela ya kula tu, mi kama fundi na shule nimeenda mteja wangu hawezi kuniburuza kwenye bajeti yake ni lazima mimi ndiye nimpangie gharama ya huduma anayotaka kutokana na bei ya vifaa madukani na mimi kama fundi nifaidike nisiishie kumfanyia mteja kazi ya bure
Kwani ata wewe mbona kuna watu unawapiga tu sasa we hutaki upigwe? Ushaambiwa nchi hii kila mbuzi ale urefu wa kamba yake..!Habari!
Kuna mafundi aina nyingi, na kwakuwa binadamu tumejaa woga basi tunamchagua mtu mmoja ndiye fundi wake katika sekta fulani.
Ukweli ni kwamba huyo ndiye mtu anayekupiga sana huku ukichekea.
Mifano ni mingi takuja kuwaletea.
Usimwamini fundi
Usitoe siri mkuu mabosi wanapitia humu bhna😂🤣😂hii kujifanya ujuaji ndio mnatandikwa nilimwambia mteja kioo 55000 ila kioo ni 50000 niliongeza 5000 ya kubrashi viatu sasa akajifanya mjuaji twende dukani nikamwambia sAWA kufika dukani muuza duka wanaelewa kabisa fundi akija na mteja kazi ni mmoja kumnyoosha kufika akaambiwa kioo 65000 akalipa na usafifiri akalipa baadae nikarudi kuchukua 15000 yangu
Mkuu kuna uwezekano wa kuja kulia kwenye suala la kubadilisha fundi gari. Fundi nyumba, fundi nguo au fundi vitasa sijui unaweza ukabadilisha ila kwenye vyombo vya moto utakuja kulizwa sio kupigwa tu.Mimi kwa mfano fundi wa gari sinaga mmoja