Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Naomba nipe tofauti mbili za msingi anachofanya Manara na anachofanya mzee MlipiliOna na ww ulivyo mbumbumbu, Talent ya Manara ni kuongea na ndio maana anaajiriwa kama Msemaji na sio Afisa Habari ila Ethics za Media officer anazijua ni vile hajafanya kazi kwenye TV and Radio
Hata Ahmed Ally anajua ukitaka umaarufu wa haraka ni lazima Umzungumzie Haji S Manara na ndio maana amejiariwa hata wiki haijaisha katupa vichambo vyake kwa Manara kama mara 100 hv, na Manara hata hajamjibu chochote coz anajua mtt mdg anataka mbeleko ya umaarufu