Kuna haja ya kunitusi kabla ya kutoa naomi yako?
Ukisikiliza hiyo interview hakuna sehemu yoyote Ahmed Ally kamkashifu huyo mume wenu, alichokisema ni kamba si sahihi kumuita Manara afsa habari bali aitwe mhamasishaji. Sasa kama wewe unaona Ahmed alikosea unatakiwa utueleze ni lini Manara amekuwa na sifa ya kuitwa Afsa habari (kumbuka cheo cha Ahmedy Ally pale Simba ni zaidi ya usemaji yaani Spokes man)
Au tueleze hapa ni Lino Manara amekuwa Afsa habari hapo Yanga , maana nijuavyo mimi Bumbuli ndio top pale hiyo manara (mume wako) ni mropokaji tu na mchangamshaji aliyepenyezwa pale kwa msaada wa GSM.