Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

Huyu akawe wa maonyesho ughaibuni atuingizie fedha za kigeni

Science haiwezi kuelezea hiyo

Sayansi haiwezi kuelezea nini, maji kutoka mdomoni?

Hata kama nikikukubalia hilo, just for the sake of argument.

Kwa hiyo chochote ambacho sayansi haiwezi juelezea jibu lake ni Mungu?

Huoni logical fallacy ya non sequitur hapo?
 
Ila dunia ina mambo mengi sana, Kuna mtu nishawahi muona katika television ana umeme wa kutosha mwilini na anawasha taa, mwengine anashika umeme wenye volt kubwa na wala hapigwi shoti
 
Ila dunia ina mambo mengi sana, Kuna mtu nishawahi muona katika television ana umeme wa kutosha mwilini na anawasha taa, mwengine anashika umeme wenye volt kubwa na wala hapigwi shoti
🤣🤣😂
 
Unaweza akaamua usifungue video lakini comment lazima zikupeleke kwenye video tu
 
Back
Top Bottom