Huyu akiondoka hata hiyo Big 4 mutaisikia Redioni tu!

Mh! We unataka wachungulie kushuka Daraja?
Mfaano Zidane so kwamba ni bonge la koooocha, ila wachezaji wanahamasika kwa sababu yeye ni icon ya mpira, yaani kumuona tu kwenye bechi na kuongea nae tayari mshashinda,.
Barcelona pia huwa wanachukua malegend wao tu ndo maaana timu kama izo hazipotezi falsafa ya mchezo wao, ukiacha sababu nyingine za kuwa na uchumi mzuri

Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
 
replacement ya wenger inabd aje kocha wa Rb liepzig Ralph Hasenhutt kidogo wanaaweza kubaki top
 
Gunners watamkumbuka sana
Watakuwa wanaiona Champions league kwenye DSTV
 
Ndo maana wanakaa muda mfupi ka akili zako zilivyofupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…