Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfaano Zidane so kwamba ni bonge la koooocha, ila wachezaji wanahamasika kwa sababu yeye ni icon ya mpira, yaani kumuona tu kwenye bechi na kuongea nae tayari mshashinda,.Mh! We unataka wachungulie kushuka Daraja?
Ni muhimu asepe awaokoe mashabiki wa aseno na magonjwa ya moyo, pili angalau ushindani wa aseno kwa man urudi manaake saizi tunajipigia tu
Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app
Mfaano Zidane so kwamba ni bonge la koooocha, ila wachezaji wanahamasika kwa sababu yeye ni icon ya mpira, yaani kumuona tu kwenye bechi na kuongea nae tayari mshashinda,.
Barcelona pia huwa wanachukua malegend wao tu ndo maaana timu kama izo hazipotezi falsafa ya mchezo wao, ukiacha sababu nyingine za kuwa na uchumi mzuri
Sent from my HUAWEI Y600-U40 using JamiiForums mobile app