MchelewajiSugu
Member
- Apr 29, 2025
- 51
- 135
9D ni moto....tutakuwepo haturudi nyuma na hatuna cha kupotezaAkauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona
Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani?
Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
View attachment 3502117
https://www.facebook.com/Akauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona
Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani?
Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
View attachment 3502117
Hii ilikuwa wapi vileAkauliwa kikatili mbele ya mwanae, mbele ya kamera dunia nzima ikaona
Halafu kuna mpuuzi mmoja anasemaje vile? Eti nimewasamehe? Anazungumzia kunyoosha mkono wa manini vile? Hivo tu kirahisi yani?
Hapana. Tutawakosea sana watu hawa
View attachment 3502117
Siyo mahabusu tu alipaswa awe kesha hukumiwa kunyongwaMpaka Sasa IGP anatakiwa awe mahabusu.
Sikiliza lafudhi yao wanayotumia apo kungamua asili yao na mazingiraHii ilikuwa wapi vile
Kweli.na chalamila nae tusimsahau.Siyo mahabusu tu alipaswa awe kesha hukumiwa kunyongwa
Mikoani huko.iringa au mwanza BBC wametengeneza kama documentary flani hivi.Hii ilikuwa wapi vile
ArushaHii ilikuwa wapi vile
So sad..... We have been saying, some of us died many years ago.
‘Mamaaa’Hii ilikuwa wapi vile