Huyu aliyekuwa mtangazaji maarufu Radio Deutsche Welle Swahili Service yuko wapi?

Huyu aliyekuwa mtangazaji maarufu Radio Deutsche Welle Swahili Service yuko wapi?

Sasa udaku uko wapi hapo? Wewe umeuliza huyo mtangazaji maarufu wa redio Dochi Velle yuko wapi. Nami nikakwambia waandikie Dochi Vele uwaulize alipo. Sasa kukwambia utafute taarifa za huyo mtu kutoka kwa mdomo wa farasi ni udaku? Hujitambui wewe!

Nilipoisoma comment yake nikaanza kufuatilia jibu lako. Ha ha haaaaaa! Kweli hajitambui!
 
Nilipoisoma comment yake nikaanza kufuatilia jibu lako. Ha ha haaaaaa! Kweli hajitambui!

Mwajuma, I like your signature "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" -
Albert Einstein
"
 
.....DWredio imechangia sana kunifanya niielewe dunia na siasa, sayansi, mazingira, jamii, uchumi, n.k........

Unayosema ni kweli, mimi nilisoma kijijini shule ya msingi, sekondari nikasoma ya ufundi (History na Geography tulikua hatusomi) lakini kutokana na kusikiliza DW, nilibahatika kujua na kujifunza vitu vingi sana na ilinisaidia nilipoenda kidato cha sita kwenye somo la GS.
 
Ni Wajih Sheh nikiwatakia afya njema.

Nilimpenda sana huyu mzee,nasikitika kuambiwa alishatangulia mbele ya haki
 
waliwahi kunitumia zawadi hawa DW miaka ya 1998 ikiwemo picha ngoja nitaisaka vizuri nije niiweke hapa.... hadi leo hii naipenda sana DW
 
Sukari ilikuwa inampa tabu kuna wakati nilimuona akitembelea gongo kama kaumia mguu vile
Anyway jamaa hodari tokea external service pale RTD halafu akaenda Japan
Hapo kwenye red: Jamaa ana sauti nzito halafu nzuri utadhani ni ya malaika. Yaani hawa jamaa watangazaji wao ni mahiri hakuna mfano. Halafu Abubhakahar Liongo naye walishamchukua ila nina siku kadhaa sijamsikia akisoma news, bado wako naye kweli?
 
Back
Top Bottom