mwaJ
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 4,074
- 2,948
Sasa udaku uko wapi hapo? Wewe umeuliza huyo mtangazaji maarufu wa redio Dochi Velle yuko wapi. Nami nikakwambia waandikie Dochi Vele uwaulize alipo. Sasa kukwambia utafute taarifa za huyo mtu kutoka kwa mdomo wa farasi ni udaku? Hujitambui wewe!
Nilipoisoma comment yake nikaanza kufuatilia jibu lako. Ha ha haaaaaa! Kweli hajitambui!