Sasa udaku uko wapi hapo? Wewe umeuliza huyo mtangazaji maarufu wa redio Dochi Velle yuko wapi. Nami nikakwambia waandikie Dochi Vele uwaulize alipo. Sasa kukwambia utafute taarifa za huyo mtu kutoka kwa mdomo wa farasi ni udaku? Hujitambui wewe!
.....DWredio imechangia sana kunifanya niielewe dunia na siasa, sayansi, mazingira, jamii, uchumi, n.k........
Mwajuma, I like your signature "Anyone who has never made a mistake has never tried anything new" -
Albert Einstein "
Uzee mama yangu, macho siku hizi yanaona herufi moja, moja na nusu
Nawakumbuka sana toka wako Berlin.
Hapo kwenye red: Jamaa ana sauti nzito halafu nzuri utadhani ni ya malaika. Yaani hawa jamaa watangazaji wao ni mahiri hakuna mfano. Halafu Abubhakahar Liongo naye walishamchukua ila nina siku kadhaa sijamsikia akisoma news, bado wako naye kweli?
Hawakua Berlin bali walikua mjini Cologne