Mazindu Msambule
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 7,510
- 6,877
Mkuu, hapo kwenye bold ni jina la fundi kanzu au ulikua na maana nyingine?Hahahaha napita mie ,atakuwa Kadinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, hapo kwenye bold ni jina la fundi kanzu au ulikua na maana nyingine?Hahahaha napita mie ,atakuwa Kadinda
Mkuu akikujibu fanya kuntag.Mkuu, hapo kwenye bold ni jina la fundi kanzu au ulikua na maana nyingine?
Je wewe hiyo picha unaionajeSiasa za bavicha bwana , mmefulia sana kisiasa..mmebakia kukosoa hata picha..
Hii ni kanzu ya mwendo kasiHuyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
View attachment 528755
That's light moment! Acha kushupaza shingo na siasaSiasa za bavicha bwana , mmefulia sana kisiasa..mmebakia kukosoa hata picha..
Hhahaaha ila imemkaa poa japokuwa oversize yeye hana habariHuyu mbunifu ambaye amemshonea Raisi John Pombe Magufuli hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana!
View attachment 528755
Kuna mavazi mengine hata ufanyeje hayakutakiHiyo kanzu ni shiiiiidah!
Kwa sababuNowdays kila mtu anasema amefunga, hata mkiristo. Kwa nini!!