Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Mi nilidhani ni blaza k wa star tv kwenye futuhi ... maana ndiye mzee wa over size
 
Tanzania ya Viwanda... Amemshonea akue nayo mambo ya zamani ayo unapewa nguo ya kukua nayo.... Pia ndo HIP HOP hyo enzi hizo mabwanga... "Shingo pima mikono kadilia"
 
Pengine hapendi kupimwa nguo sisi baba yetu suti anavaaga over size unatuma pesa kwa mama anapeleka suti ya zamani kwa fundi kwaajili ya vipimo! Sasa hivi tuna mpa go wa kumuomba personal aende akapimiwe hataki anadaigi ubize wa kazi ,amenikumbusha my father
 
Back
Top Bottom