Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Mshamba alama zake ni nyingi sn.......tangu ln jogoo la shamba likawika mujini
 
Sitashangaa vijana wa CCM wakitaka kuandamana kumpongeza makomeo kuwa ana vaa kwa kupendeza
 
Tatizo umeshindwa kutofautisha kati ya kanzu ya kihaya na kiislamu.
Kwa kiislamu hiyo kanzu ndio mwake kabisa,akitokea mwanamke ambaye si haramu kwako kumuoa unamsalimia kwa kufunika kiganja na mkono wa kanzu ili asikutengue.Ndio maana wanaojua kanzu wamekaa kimya
Kanzu sio sawa na suti kamanda
kwa hiyo mkuu unataka kusema ******** ni muislamu kasoro modevu sio
 
Watu mnasifu mpaka pamba woga gani huo?
Kwangu mshonaji kakosea mikono imezidi
 
Back
Top Bottom