Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Chabrosy

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2018
Posts
2,632
Reaction score
3,150
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
029b90f3-a3ac-4cac-88b1-993ed88b90cc.jpg
 
Oliva Tambo rafiki mkubwa wa Mandela....
alipigana sana Mandela aachiwe kutoka kifungoni...
akafariki siku chache baada ya Mandela kuwa huru....if I can remember correctly
Then Mandela betrayed Chriss Han the truest patriot
 
Back
Top Bottom