Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Hiyo picha nadhani ilipigwa kabla ya mwaka1985 wakati Nyerere akiwa ni mwenyekiti wa kamati ya kuikomboa sehemu yote ya kusini mwa afrika dhidi ya ukuloni wa wazungu (mabeberu ambao leo tuna viongozi wanaomba kura zetu ili wawarudishe). Kulia ni Nyerere aliyekuwa rais wa Tanzania wakati huo, katitati ni Machel aliyekuwa rais wa Msumbiji wakati huo na kushoto ni Kaunda aliyekuwa rais wa Zambia wakati huo. Nyuma ya Nyerere kuna mtu ambaye ninadhani ni komandoo Salmin ambaye sijui wakati huo alikuwa na madaraka gani kwenye jopo la ulinzi wa Nyerere
 
Wanaotaka kuwarudisha Mabeberu ndio waliowahi kumtukana Nyerere sana pia
2810🙏
 
Huyo ni Marehemu Samora Machel, Mwanamapinduzi aliyekuwa raisi wa kwanza wa Msumbiji.
 
Wa katikati ni baba wa Taifa wa Msumbiji
Kabla ya Samora alikuwepo Eduardo Mondlane.

Alikuwa assassinated Oysterbay hapa hapa Dar.

1601884209197.png

Mondlane huyo mrefu kuliko wote waliosimama.

Trivia

Katika hao waliosimama Mondlane aliuawa na waliobaki wote walikuja kuwa marais wa Msumbiji
 
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Kutoka kushoto ni Mzee Kaunda (Zambia), Camarada Samola Machel (Msumbiji), na mwenyeji wao (JKN) wa Tanzania
 
Gwanda lilipokuwa gwanda kwelikweli,sare ya wanamapinduzi na vazi la ukombozi.
 
Back
Top Bottom