Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Huyu aliyesimama na Nyerere ni nani?

Pengine ni hashimu rungwe katika kusherehekea siku ya ubwabwa duniani
 
Huko anakoangalia Mwl ndio Mm nlisimama
 
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Du jamani nyie watoto, historia hamfundishwi.
Kushotokabisa ni Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, katikati ni Samora Machel wa FRELIMO, hapo bado hajawa Rais wa Mozambique, na Rais Nyerere wamjua.
Body language inaongea, Nyere ndio alikuwa kiongozi wao wakati wa kupigania uhuru wa Msumbiji.

Tanzania ilitoa wanajeshi wake wengi tu, wengine walifia Msumbiji kupigania uhuru wa Msumbiji.
 
Samora Machel wa msumbiji na mzee kaunda wa Zambia wote Hawa walikuwa ni maraisi wa kwanza nchini kwao wapigania uhuru
 
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Katikati (Samora Machel) akiyekuwa raisi wa Mozambique na kushoto ni (Keneth Kaunda) aliyekuwa raisi wa kwanza wa Zambia.
 
Msinichukulie vibaya, ila nimeshangaa sana kuona kuna mwafrika hawajui hawa!!!
vijana wadogo usiwalaumu,Leo mambo Ni mengi na muda kama unavyoona hautoshi mengine unauliza jf.
 
Back
Top Bottom