Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Atakuwa Tundu LIssu huyo wakati Nyerere kahamia ChademaWakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Kweli maisha yana mwishoHuyo wa pembeni ni mzee Kenneth Kaunda... naona amebaki yeye tu
View attachment 1582650
Inategemea amezaliwa mwaka gani ana kupata elimu wapi. Kizazi cha sasa hakiwezi kujua historia vizuri maana mitandao inakipotosha , na walimu wenyewe sijui kama wanafundisha Historia ya wakati ue. Maana kwa bongo unawezakuambia hay yamepititwa na wakati!Nchi ngumu hii,ha ha ha
Du jamani nyie watoto, historia hamfundishwi.Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Hizo ni sare za askali wa Mocambique.Hawa wazee wamevaa magwanda ya Chadema hawaa.kuuumbeeee!!
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
Kama Mwafrica amezaliwa 2017 je? Unamshangaa pia?Msinichukulie vibaya, ila nimeshangaa sana kuona kuna mwafrika hawajui hawa!!!
Sie tunawajua hadi akina haka Zulu na hatukuzaliwa miaka hiyoKama Mwafrica amezaliwa 2017 je? Unamshangaa pia?
Umezingatia kigezo cha umri?Msinichukulie vibaya, ila nimeshangaa sana kuona kuna mwafrika hawajui hawa!!!
Umri sio tatizo mzee mbona sie tunawajua hata akina Chaka Zulu na hatukuzaliwa zama hizoUmezingatia kigezo cha umri?
Magwanda ya ukombozi. Hayo majembe yalizikomboa nchi zao kutoka katika udhalimu na uonevu. Hata sasa kupitia haya magwanda tarehe 28.10 tunalo jambo letu.Hawa wazee wamevaa magwanda ya Chadema hawaa.kuuumbeeee!!
Katikati (Samora Machel) akiyekuwa raisi wa Mozambique na kushoto ni (Keneth Kaunda) aliyekuwa raisi wa kwanza wa Zambia.Wakuu habari za asubuhi! ningependa jua huyu aliyeko katikati ya Nyerere na huyo mzee mwingine ni nani huyu? Kwa sasa yuko wapi? ningependa sana mjua huyu jamaa..asanteni
View attachment 1582099
vijana wadogo usiwalaumu,Leo mambo Ni mengi na muda kama unavyoona hautoshi mengine unauliza jf.Msinichukulie vibaya, ila nimeshangaa sana kuona kuna mwafrika hawajui hawa!!!