Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Mo si rahisi apost mapicha yameeditiwa mwili wa mwingine kichwa cha mwingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo si rahisi apost mapicha yameeditiwa mwili wa mwingine kichwa cha mwingine.
Ingekua kweli navyowajua wana utopolo hasa wale wasemaji prifwa na kamwe walivyowambeaa ingekua story mjiniHii taarifa ni ya kweli jamaa hajawahi kosea
Unless kuwe kuna usiri sana wa usajili safari hii kupunguza kuzungukana.Ingekua kweli navyowajua wana utopolo hasa wale wasemaji prifwa na kamwe walivyowambeaa ingekua story mjini
Labda unataka muaibike wote.Hakuna kitu hapoHii taarifa ni ya kweli jamaa hajawahi kosea
Kwanini hana maajabu? Takwimu zake ni hovyo?Sijui ni kwanini Simba mnapagawa sana na Feisal. Halafu cha ajabu ni wa kawaida sana. Hana maajabu
Kuna mchango wa kulipa faini ya CAF. Aminika wewe kwa kutoa buku tu.Mo hajawahi aminika kwenye suala lolote la utoaji wa Mpunga
Fei kaimprove sanaSijui ni kwanini Simba mnapagawa sana na Feisal. Halafu cha ajabu ni wa kawaida sana. Hana maajabu
Kikubwa maokoto aende hata Tabora. Amebakiza muda mfupi kwenye game.Kwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.
Kuwa huna Akili au?
TopazAtatumia gillete?
Sema Azam sijui wanataka nn ,maana Ni kama Simba na Yanga wanamchezea haelewi nishike Hiki au hukuKwa 90% wameshamalizana nae na Mshahara wake wa sasa huko ni 'Kufuru' na Jumba la Kifahari Mbweni Ufukweni.