Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

Tetesi: Huyu anayetudanganya Kutwa kuwa Fei Toto anakuja Simba SC ni nani? Haya sasa 'Kuleni Chuma' hiki kuwa kwa 85% anarejea Walikomdharau na Kumnyanyasa

Ingekua kweli navyowajua wana utopolo hasa wale wasemaji prifwa na kamwe walivyowambeaa ingekua story mjini
Unless kuwe kuna usiri sana wa usajili safari hii kupunguza kuzungukana.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio (Visababu) SC.
25. Manguruwe SC.
 

Attachments

  • JamiiForums-2104962820.jpeg
    JamiiForums-2104962820.jpeg
    31.3 KB · Views: 3
Back
Top Bottom