kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Wanasema huyo Andy Bikoko ndiyo sababu kuu ya kuwafukuzisha wazungu wawili yanga na singida black stars klabu mbili ndugu wa damu.
Eti ni jamaa moja katili sana liliwatia mfukoni Pacome, Azizi Ki, Chama, Maxi na Mzize jana tena Elvis Rupia, Ayubu Lyanga na wenzake wamekutana na jitu baya Andy Bikoko nasikia lina matakoling ya hali ya juu kushinda huyo Bacca.
Hivi ni nani huyo mtu?
Wanamichezo naombeni kufahamishwa kuuliza si ujinga kila la kheri Yanga wanawakilisha taifa!