spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Bikoko anafanana na legend flani wa bongofleva
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbuziii!Bikoko anafanana na legend flani wa bongofleva
Ukuta wa chuma!Bikoko anafanana na legend flani wa bongofleva
Hizi ni za ndaani sana mkuu hebu ongeza kidogo kuna mengi umeyaficha ya aibu zaidi hebu tueleze tusio yajua!Uchebe amefukuzwa kwa Singida Black Stars kukataa kucheza kinazi dhidi ya Yanga Zanzibar. Kitu kilichosababisha Gamondi ampige kocha msaidizi wa Singida Black Stars. Gamondi aliahidiwa kuwa mechi imeshqpangwa Ausemms akakataa mpango uliopangwa.
Ndio maana mechi ikachezwa Zanzibar kurahisisha mpango.Dakika za mwisho Uchebe akachomoa betri kilichosababisha mechi kuwa ngumu.
Mwenye timu akachukia.
Wanatumia gharama kubwa kusajili wanataka kupata ushindi njia za mkato!Ausem ni kocha sana yule jamaa ila kwa vile hatujali professionalism ndio maana
Team ime draw mechi imechezwa kwenye jaruba la mpunga lililokauka na bado unalaumu kocha !?
Watu wa ajabu sanaWanatumia gharama kubwa kusajili wanataka kupata ushindi njia za mkato!
Hatari sana!Watu wa ajabu sana
Mechi yenyewe imechezwa saa nne na pale tabora huwa Kuna figisu za hovyo hovyo sana uwanja ulikuwa unateleza hadi we muangaliaji unateleza bado wanalaumu kupata sare
Yani ukimsikiliza masanza hadi unapata hasira