Huyu apewe urais tu tumalize kazi

Huyu apewe urais tu tumalize kazi

Mpigamimba

Senior Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
198
Reaction score
237
Apewe tu. Nchi zilizoendelea zilipata watu kama mtaka zikatoka kwenye ubabaishaji, unyonyaji wa wenyewe Kwa wenyewe.

Mnasema hizi nchi zina amani. Amani ni nini? Ni kutopigana tu?

Nchi nyingi maskin Zina umaskin uliokithiri na ndio ukosefu wa amani wenyewe.

Viongozi waliostaafu wanaongea ongea wanataka au wanalimda nini?

Kila anayetetea tea, Linda Linda anakitu ana maslahi nacho.

Kwanini hawatuoneshi kwamba wanapata shida ya umeme ka lma sisi,maji wanapata shida kama sisi, foleni Wana cing'ora, je wanapita barabara mbovu kama zetu? Wanaumwa na kufa mfulululizo hospitalin kama sisi au Hadi kisukari kikiwazidi.

Kuwajengea walimu nyumba ni uongo mweupe. Kwa nini wakati wanawajengea wasiwape house allowance. Je ni kweli watawajengea walimu nchi nzima?

Posho kwao Kwa wa chini ni anasa.

Wataisoma nambaaa eee ..... mbele Kwa mbeleeee. ,£¢€¥¶∆#$@&¢~√π¶
 
Naunga mkono hoja LAKINI ile misimamo yake ya kiimani inaweza kuleta mtafuruku nchini. Hakutakuwa na shughuli yeyote rasmi ya kiserikali siku ya Jumamosi na kwa kufanya hivyo kutaibua makundi ( kwa utashi wao) ya watakaotetea urasmi wa siku za Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa na Jumapili. Kiutendaji ni MTU mwema sana ILA lazima aweze kutenganisha Uongozi na Misimamo MIKALI ya kiimani.

Nipo tayari kukokosolewa.

Ahsante
 
Hana shida wala ubaguzi. Ana hekina sana huyu mzee. Mwenyezi Mungu ampe nguvu na ulinzi aendelee kutumikia
 
Mwalimu anadharaulika Kwa sabab ya uroho wa wanasiasa.

Anasimamia ujenz wa madarasa. Viongozi wa siasa wanamchachafya anaposhindwa kutekeleza masuala ya ujenzi.

Wengi hawaamini kwamba baada ya uhai wao mfupi watabanwa na makaburi Yao.
 
Inasikitisha sana. Jinsi walimu wanavyofanyiwa
 
Back
Top Bottom