Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga.

Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.

Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.

Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.

 
Kizuri mkuu hakidumu

Ila hawa ni askari weredi sana sikiliza hata anavyoongea

Ila hawapewagi nafasi za kufanya maamuzi
Nakubaliana na mawazo yako mkuu watu kama hawa kwenye utawala wa ccm hawapendwi kabisa.
 
Kuna wakati alikuwa RPC hapa Dar. Sijui amefichwa wapi, ataibuliwa tu na hii clip
 
Kuna afande mmoja kule Kilimanjaro anaitwa sweaty ni mdada mmoja vile. Atumiwe hiyo clip
 
Shida utakuta watu kama akina Suzzane Kaganda wanapigwa vita kuanzia ndani ya jeshi la police lenyewe.Ila huyu mama anafaa kuwa IGP wa kwanza wa kike
 
Chanda chema huvikwa pete ,
Huo ni msemo wa wahenga.

Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar.

Hakuwa mtetezi wa waharifu,hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno.

Chonde chonde mama Samia tuletee huyu mama atuvushe.View attachment 1842853

Kazi nzuri ya Chama cha mapindunzi
KAZI IENDELEE
 
Back
Top Bottom